Namfananisha Makonda na lowasa

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Makonda anatumia nguvu ya pesa kusaka ubunge mkoa wa DSM.
Katika mazingira ya kawaida kwa mshahara wake ni ngumu sana kutumia na kumwaga pesa vile.
Anatoa misaada kwa makundi maalumu huku akijificha kwenye kivuli cha dini.

Ila namshauri awe makini mwenzake lowasa ameishia kugonga mwamba.
 
Back
Top Bottom