"Nambulila", ugonjwa wa kufa na kuzikwa huku ukijiona, yaitafuna CCM !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,060
22,755
Mchungaji Mtikila adai CCM ina ugonjwa wa ‘Nambulila' ambao mgonjwa hufa na kuzikwa akijiona.

"Wapangwa wana ugonjwa unaitwa Nambulila. Ni ugonjwa unaotokana na tego la mke. Mtu akitembea na mke wa mtu anaupata na anapokufa, anawaona watu wanavyomlilia, wanavyomuingiza kwenye kaburi, lakini hana uwezo wa kusema, hivyo anazikwa akiwa hai, akiona kila kitu. Ndivyo ilivyo CCM, inakufa ikijiona. Hii ndiyo Nambulila," alisema Mtikila.
 
kwa jinsi serikali ya c.c.m inavyendesha mambo katika nchi hii na ukiangalia matokeo ya uchaguzi yalivyowafanya, surely nambulia imewashika
 
Nimemouna akiongea n kucheka sana....nami namuunga mkono, maana pamoja na kuchakachua kura,bado haioni aibu kwa kuiba mali za umma.
 
Back
Top Bottom