Nambie unahakikisha vipi nguo zako zikipangwa hazivuruguki tena?

cold water

Member
Oct 6, 2021
5
45
Mimi natumia kioo,naweka kioo kati kati natenganisha skirts na shirts haviingiliani,hapo upande wa skirts nimeweka na gauni zote.skirts na magauni,mashirt yapo peke ake nguo nimepanga tu kwenye begi sina kabati nambie wewe nguo zako unazipangaje,na je ukizipanga siku ukitafuta nguo unayoitaji uivaie siku iyo zingine hazivuruguki? Unapanga nguo zako Mara ngapi? Karibuni tupeane mawazo.
IMG_20211030_183305_1635617097889.jpg
 
Gnaber

Member
Mar 24, 2017
37
150
Mara chache napanga kwa sababu natumia njia ambayo nguo zote zinaonekana so navuta ninayoitaka tuu...
mfano nikikunja, nakunja nguo Mara mbili kupunguza urefu na upana Kisha nairoll/ naizungusha mfano wa chapati Kisha unapanga kwa kugawanya au hata zote sehemu moja na zisivurugike ukiwa mstaarabu.

Hii inasevu nafasi na muda wa kutafuta nguo na muda wa kukunja kunja manguo...
 
Unazipanga sehem gani
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
32,970
2,000
Huku Kyerwa Siku Hizi Angalau Shangazi Kaja Zipo
Tunajaza Zote Humo Humo, Nikila Chai Katoke Safi
Nachukua Navaa Tu Maisha Yanakwenda Smooth Kama Maji
 
Habun

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
73,038
2,000
Nazikunja na kuzipanga kwa namna ambayo zinaonekana zote, na blauz zinakaa kivyake, magauni,suruali nk.
 
Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,414
2,000
Mara chache napanga kwa sababu natumia njia ambayo nguo zote zinaonekana so navuta ninayoitaka tuu...
mfano nikikunja, nakunja nguo Mara mbili kupunguza urefu na upana Kisha nairoll/ naizungusha mfano wa chapati Kisha unapanga kwa kugawanya au hata zote sehemu moja na zisivurugike ukiwa mstaarabu.

Hii inasevu nafasi na muda wa kutafuta nguo na muda wa kukunja kunja manguo...
Sindika na kapicha basiiii
 
  • Haha
Reactions: BAK

Rhz4567

JF-Expert Member
Mar 16, 2018
3,390
2,000
Sikunjagi nguo nikishafua nizitupia kwny begi.
Nikipiga Pasi zinakuw vzr
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom