Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Gb whatsapp mpya 6.95 ina anti ban..mim nmetulia uko
Bila shaka uko kwenye ile group ya GB Mod official ya Telegram.
Naona kuna jamaa wanadai washakumbwa na Ban,
Mie jana ilinikuta japo sikumbuki nilikua natumia version ipi
 
Sipo huko mkuu...ila bado nasubria kudakwa

Mie nilikua najiamini 110% lakini nimedakwa jana saa 11 na nipo katika ile group ya ma admin wa Gb wasap
Wapo wanaodai ver 6.95 ina antiban lakini kuna wadau hapa sahivi online wanadai wamedakwa tena.

Cha zaidi jiandae kwa kufanya back up ili ukidakwa utamove chats zako tu bila kuzipoteza.
 
Okey mkuu...ngoja nifanye backup mapema.. mana dah

Yawezekana ukapona mkuu,
Manake kuna wengine bado wanatamba na Wasap+ mpaka hivi sasa haijapata mkasa wa Ban kwa wanaotumia latest version.
Lucky you!
 
Yo Whatsapp ngoma inogile.
20190614_063130.jpeg
 
Watumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam

point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na policy za WhatsApp
...ni hivi kuzitumia hizo WhatsApp feki ni against privacy and police za WhatsApp,,,hizo WhatsApp feki zina mambo mengi sana ambayo kwenye WhatsApp ya kawaida hamna na hizo ndio privacy ,,,,,

kam kudownload status ,copy caption kwenye pics ,,freezing least seen ,auto reply yani kuna vikolo kolo viingi ambavyo WhatsApp official sio kwamba walishindwa kuviweka no . .ni police na ni sheri za chating platform yoyotee

Usidhani walikua hawajui kama izo WhatsApp feki zipo ,,wanajua Sana'a ila walikua wanawazoom

Sana naona wamekuja na plan kuzitokemeza watumiaji wa hizo WhatsApp feki wanakula ban tuu skuiz

wanaanza na masaa ukiwa mbishi wana haamia siku usipo badirika basi wana kupiga ban maisha yani namba yako haita weza kutumika WhatsApp teeena labda uibadiri ...

Niwape tuu angalizo sijui mna zipendea nni hizo WhatsApp feki ila zitawacost...
Hey.. Relax
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom