Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

tumia yo whatsapp antiban version, ndo mi nadunda nayo had sasa, kunajamaa zangu wanatumia hiz yo whatsapp za kawaida kama wawili hivi washakula ban za kutosha.
Aisee hii mimi bado nakula ban kama kawa.
Gbwhatsapp plus ndio ilikubali ila kuna features sijaziona mule.
 
Mwanaume hatumii vitu soft asee. Onatumiaje Official WhatsApp wakati kuna GBWhatsApp?

Unatumiaje Official Instagram wakati kuna GB Instagram?
Wanawake ndo wanatumia vitu bandia! Mawigi,kucha,kope,matako,maziwa,GB whatsapp,Yo whatsapp,Tm whatsapp


Unaswali?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom