Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Matukutuku

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
269
126
Wakuu kwa mara ya kwanza nakutana na ban ya whastapp nilikuwa sijui.
Nimelala usiku whatsapp ikiwa fresh kabisa yaani nimechat mpaka labda saa 5 hv usiku, nikalala ile kuamka asubuhi kufungua whatsapp nashangaaa naambiwa niconfirm your number, kuconfirm ndio naambiwa "your number has been banned from using whatsapp" halafu kuna sehem ya kulink na support.

Nika click support ikaniletea sehem ya kuandika maelezo nikaandika kisha nikatuma email kisha wakajibu kama hapa chini:

Hi,
Your WhatsApp account has been banned because your activity violated our Terms of Service.
Be aware that we ban accounts if we believe the account activity is in violation of our Terms of Service. Please review the “Acceptable use of our services” section in our Terms of Service carefully to learn more about the appropriate uses of WhatsApp and the activities that violate our Terms of Service.
We might not issue a warning before banning your account. If you think your account was banned by mistake, please respond to this email and we'll look into your case.
Note: WhatsApp reserves the right to modify, suspend or terminate service for any reason without prior notice, at our sole discretion.

--
WhatsApp Support Team

Kisha hapo waliposema kama unahisi wameban by mistake basi nireply, nikareply kisha wakaja na majibu haya:

Hi,
We have reason to believe your account activity has violated our Terms of Service and decided to keep your account banned. We received a large number of complaints about your account and in order to protect our users' privacy, we won't disclose the nature of the complaints.
Responses to this email thread won't be read.

--
WhatsApp Support Team

Sasa hapa naona ndio kama nimekula lifeban, je kuna mdau alishawahi kukutana na hii changamoto na alifanyaje fanyaje kurudisha namba yake?

Natanguliza Shukrani
 
jiwekee taabia ya kusoma Terms Of Service (ToS) za mtandao wowote ule kabla hujazikubali(agree) na kujiunga
hapo umevunja sheria na hiyo no. kujiunga na whatsapp haitokubali kamwe
 
nadhani kuna muda fulani wanakupa na utaweza kujiunga tena. chukulia mfano hiyo namba ukaacha kuitumia kwa muda hadi akapewa mtu mwingine, unadhani nayeye atakuwa amefungiwa whatsapp maisha? Lazima kna miezi ya adhabu hapo. Jaribu kufanya SWAP ya line ili upate line nyingine ya namba hiyo hiyo yenye IMSI namba nyingine
 
Pole labda unatukana watu sana au kuna magrp ambayo hayana maana umefungua watu wame-report.

Un-install download ipya na utumie no nyingine
Ha haha acha vurugu, mi sina magroup yeyote ya ngono au mabaya mabaya, magroup yangu yote ya kawaida kabisa, halaf pia mi sina tabia ya kutukana watu mtandaoni kwa kifupi mimi ni mtakatifu aisee broo.

Ila kuna kitu nahisi ambacho inaweza kuwa ndio sababu. Kwenye simu yangu kulikwa pia na GBWhatsapp. Nahisi hii ndio shida.

Nimeing'oa hiyo GBWhatsapp nasubiri wanitoe kifungoni sijui itakuwa lini, acha niwe mvumilivu.
 
Pole labda unatukana watu sana au kuna magrp ambayo hayana maana umefungua watu wame-report.

Un-install download ipya na utumie no nyingine
Ni meuninstall na kudownload upya kwa namba ingine shida ni kwamba namba ya mwanzo inajulikana na watu wengi mpaka Corporate companies.

Hii mpya mpaka ije ijulikane ni shida sana.
 
nadhani kuna muda fulani wanakupa na utaweza kujiunga tena. chukulia mfano hiyo namba ukaacha kuitumia kwa muda hadi akapewa mtu mwingine, unadhani nayeye atakuwa amefungiwa whatsapp maisha? Lazima kna miezi ya adhabu hapo. Jaribu kufanya SWAP ya line ili upate line nyingine ya namba hiyo hiyo yenye IMSI namba nyingine
Aisee umenipa wazo zuri sana, kwa hyo wanapoban namba hawaaangalii namba kama namba wanaangalia MSSDN au??

Kama ni hvyo ntajaribu kuSWAP
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom