Namba zinasomwa sana sikia hii...

wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
2,028
1,695
nilikuwa nipo kijiweni kijiwe cha draft tukaanza kuzungumza kuhusu siasa sasa watu wengi walikuwa wanaponda sana kuhusu uchumi ikatokea mwingine wanasema kuwa mambo mbona mazuri daaah kilichotokea matusi hadi kutishiana kupigana Ngumi bhasi mimi nikasema jamaaan siasa sio ugomvi unaweza ukawa ukawa leo kesho ukawa ccm watu baada ya kusikia hivo ndo wakatulia wakanuniana hatari sana .Uchumi huku mtaani haujakaa vizuri kwa wapiga dili ? Unajua .......
 
Back
Top Bottom