Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Hawa official nao wanatuonea gere tu,na wao si waweke hizo feature tutadownload otherwise labda wazuie apps zote ambazo siyo official
 
Habari!

Kuna mtu aliwahi kutupa habari kuwa namva hizi zitafungiwa soon....!!

Lakini tukapuuzia wengi, nadhani wachache walijali hilo.
Sasa jana namba ya rafiki yangu aliyokua ame down load unofficial app ile "yowhatsapp" amefungiwa kutotumia whatsapp milele kwa namba ile.

"this number 06******* banned from using whatsapp"

Ila GB whatsapp bado inatumika...

Sent using Jamii Forums mobile app
Heee..hatarii
 
Kuna mshkaji wangu anatumia GB whatsapp, tangu jana haifanyi kazi inadai update, akijaribu kupakua inakata tu. Sasa sijajua kama ndo mlolongo huo huo ama ni update ya kawaida

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari!

Kuna mtu aliwahi kutupa habari kuwa namva hizi zitafungiwa soon....!!

Lakini tukapuuzia wengi, nadhani wachache walijali hilo.
Sasa jana namba ya rafiki yangu aliyokua ame down load unofficial app ile "yowhatsapp" amefungiwa kutotumia whatsapp milele kwa namba ile.

"this number 06******* banned from using whatsapp"

Ila GB whatsapp bado inatumika...

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...itakuwa mafisiem hao

Sent using Beretta ARX 160
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom