Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Uongo wangu utaujua ukila BAN. kama unajua maana ya BAN.

Kama hujawahi experience hili jambo, usi comment vitu usivyo vijua, uzuri wao wamesema tu TEMPORARY BAN.

So hiyo namba itakuwa haikubali kutumia WhatsApp kwa muda, au hadi utume ujumbe kuomba iruhusiwe kutumia WhatsApp.
SangaweJr
Nilivyoelewa ni kwamba wanakupiga bun kutumia third parties Ila ukitumia official haina shida
 
Habari!

Kuna mtu aliwahi kutupa habari kuwa namva hizi zitafungiwa soon....!!

Lakini tukapuuzia wengi, nadhani wachache walijali hilo.
Sasa jana namba ya rafiki yangu aliyokua ame down load unofficial app ile "yowhatsapp" amefungiwa kutotumia whatsapp milele kwa namba ile.

"this number 06******* banned from using whatsapp"

Ila GB whatsapp bado inatumika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama ni milele

Similar Discussions

Back
Top Bottom