Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Wakuu kwa mara ya kwanza nakutana na ban ya whastapp nilikuwa sijui.
Nimelala usiku whatsapp ikiwa fresh kabisa yaani nimechat mpaka labda saa 5 hv usiku, nikalala ile kuamka asubuhi kufungua whatsapp nashangaaa naambiwa niconfirm your number, kuconfirm ndio naambiwa "your number has been banned from using whatsapp" halafu kuna sehem ya kulink na support.

Nika click support ikaniletea sehem ya kuandika maelezo nikaandika kisha nikatuma email kisha wakajibu kama hapa chini:

Hi,
Your WhatsApp account has been banned because your activity violated our Terms of Service.
Be aware that we ban accounts if we believe the account activity is in violation of our Terms of Service. Please review the “Acceptable use of our services” section in our Terms of Service carefully to learn more about the appropriate uses of WhatsApp and the activities that violate our Terms of Service.
We might not issue a warning before banning your account. If you think your account was banned by mistake, please respond to this email and we'll look into your case.
Note: WhatsApp reserves the right to modify, suspend or terminate service for any reason without prior notice, at our sole discretion.

--
WhatsApp Support Team

Kisha hapo waliposema kama unahisi wameban by mistake basi nireply, nikareply kisha wakaja na majibu haya:

Hi,
We have reason to believe your account activity has violated our Terms of Service and decided to keep your account banned. We received a large number of complaints about your account and in order to protect our users' privacy, we won't disclose the nature of the complaints.
Responses to this email thread won't be read.

--
WhatsApp Support Team

Sasa hapa naona ndio kama nimekula lifeban, je kuna mdau alishawahi kukutana na hii changamoto na alifanyaje fanyaje kurudisha namba yake?

Natanguliza Shukrani
Mimi nimekula bann namba zaidi ya tano... Nilikuwa na magroup mengi sana namba zangu zilikuwa na magroup zaidi ya 256... nilikuwa na forward sana links nikala bann... Nikagundua kuna watu hawapendezwi na vitu ninavyoforward kwahyo walikuwa wana niriport.
 
Pole sana aisee, kwa hyo bado upo kwenye Ban au wameshakufungulia??
 
Ntumie links plz...sina group ata 1 nili left yote

Inaonekana huwa unatabia ya kuadd watu kwenye magroup na kuchat na watu ambao hawakujui kisha wao wanareport kama spam.Zikijaa baaas unakula ban
 
Ha haha acha vurugu, mi sina magroup yeyote ya ngono au mabaya mabaya, magroup yangu yote ya kawaida kabisa, halaf pia mi sina tabia ya kutukana watu mtandaoni kwa kifupi mimi ni mtakatifu aisee broo.

Ila kuna kitu nahisi ambacho inaweza kuwa ndio sababu. Kwenye simu yangu kulikwa pia na GBWhatsapp. Nahisi hii ndio shida.

Nimeing'oa hiyo GBWhatsapp nasubiri wanitoe kifungoni sijui itakuwa lini, acha niwe mvumilivu.
mimi pia nimehisi huenda una hii kesi. Mimi mwenyewe niliitoa kwenye simu yangu hivi juzi tu
 
Ni meuninstall na kudownload upya kwa namba ingine shida ni kwamba namba ya mwanzo inajulikana na watu wengi mpaka Corporate companies.

Hii mpya mpaka ije ijulikane ni shida sana.
hiyo ndio gharama ya kuvunja mkataba; ww ulidhani mkataba unavunjwa bure??
 
Mm siku hizi whtsap yangu haipo busy kbs kwnz nimejitoa mgrp mengi nimebaki na magrp mawili tu ambayo ni muhimu halaf hayana maongezi mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom