Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Namba yoyote ilokuwa inatumika katika Whatsapp Plus tulipataga ban ya 24 hrs, waliotengeneza Whatsapp Plus ndo waliounda GBWhatsapp....

Nadhani hlo ndo tatizo.
Yes inawezekana kabisa, kwenye simu yangu nilikuwa pia na GBWhatsapp
 
Namba yoyote ilokuwa inatumika katika Whatsapp Plus tulipataga ban ya 24 hrs, waliotengeneza Whatsapp Plus ndo waliounda GBWhatsapp....

Nadhani hlo ndo tatizo.
Hapa ulikuwa na hyo Whatsapp plus peke yake au ulikuwa na hizo zote mbili??
 
Wakuu kwa mara ya kwanza nakutana na ban ya whastapp nilikuwa sijui.
Nimelala usiku whatsapp ikiwa fresh kabisa yaani nimechat mpaka labda saa 5 hv usiku, nikalala ile kuamka asubuhi kufungua whatsapp nashangaaa naambiwa niconfirm your number, kuconfirm ndio naambiwa "your number has been banned from using whatsapp" halafu kuna sehem ya kulink na support.

Nika click support ikaniletea sehem ya kuandika maelezo nikaandika kisha nikatuma email kisha wakajibu kama hapa chini:

Hi,
Your WhatsApp account has been banned because your activity violated our Terms of Service.
Be aware that we ban accounts if we believe the account activity is in violation of our Terms of Service. Please review the “Acceptable use of our services” section in our Terms of Service carefully to learn more about the appropriate uses of WhatsApp and the activities that violate our Terms of Service.
We might not issue a warning before banning your account. If you think your account was banned by mistake, please respond to this email and we'll look into your case.
Note: WhatsApp reserves the right to modify, suspend or terminate service for any reason without prior notice, at our sole discretion.

--
WhatsApp Support Team



Kisha hapo waliposema kama unahisi wameban by mistake basi nireply, nikareply kisha wakaja na majibu haya:

Hi,
We have reason to believe your account activity has violated our Terms of Service and decided to keep your account banned. We received a large number of complaints about your account and in order to protect our users' privacy, we won't disclose the nature of the complaints.
Responses to this email thread won't be read.

--
WhatsApp Support Team


Sasa hapa naona ndio kama nimekula lifeban, je kuna mdau alishawahi kukutana na hii changamoto na alifanyaje fanyaje kurudisha namba yake?

Natanguliza Shukrani
Mkuu jaribu kuinstall Yowatsapp. Nadhani hawa hawana uhusiano.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom