Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,979
- 2,000
Naomba namba za kuchangia JF kwa njia ya vouchers ziwekwe wazi ili watu wengi waichangie. Nimefanya hivyo makusudi ili kujua namba ambazo ziliandikwa humu za tigo ni za kweli ama la.
Binafsi nilichangia 1000 kwenye namba ya tigo 0713 44 46 49, baadaye nikapokea sms inayosema nimeipokea, na mimi nikamwambia anitumie ya voda ili nimchangie, nikatumiwa hiyo ya voda ambayo niliichangia sh.5,000, ambayo sikupokea sms, jambo ambalo linanipa wasiwasi kama hiyo namba 0755 64 29 29 kweli ni ya JF. Hata hivyo nikatuma sh.2000 tena kwenye ile ya tigo sikujibiwa pia.
Hivyo kama hizo namba zitawekwa hadharani itasaidia kujua kwamba sijaliwa.