Namba za matapeli hizi hapa

Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,071
347
Ndugu zangu,

Asalaam aleikum!

Mimi na ndugu zangu tumekuwa tukisumbuliwa na matapeli ambao wamekuwa wakijitambulisha kwa jina la Dr. Mwakalinga na Dr. Emmanuel. Dr. Mwakalinga akipiga anasema ametokea Mbeya na amepata ajali. Pia anasema yeye ni engineer huko Rukwa, anachimba visima na anataka agent wakununua dawa za kuweka kwenye visima! Mwezi wa 2 alisema hivyo hivyo kwamba amepata ajali. Mwezi wa 7 akasema hivyo hivyo na hivi wiki juzi amesema hivyo hivyo.
Huyu Dr. Emmanuel anasema alikua Muhimbili na sasa yuko Serengeti kahamishiwa juzi. Lakini amekuwa akidai hivyo tangu mwezi wa 4, na eti anauza kemikali. Sijui ni kemikali zipi! Isije ikawa hawa ndo wasambazzaji wa tindikali! Mi niligundua ni matapeli….

Namba wanazotumia ni 0686 555532 (Dr. Emmanuel) na 0688 616940 ya Dr. Mwakalinga au Engineer Mwakalinga. Naamini majina wanayoyatumia ni yabandia. Ila kuweni macho na matapeli hawa. Airtel watusaidie kuwabaini kwamba wamejisajili kwa majina yapi?

Nawasilisha.
 
mnawakosea sana hao.......mi najua jinsi ya kudeal nao......kwanza huwa najifanya wamenipata...then nawaingiza mkenge....najua wamo humu wengine wanasikilizia maumivu...............natamani wanipigie mimi simu...nawatamani sana hawa watu..kama vipi waambie wani pm then naenda nao mdogomdogo
 
Back
Top Bottom