Namba yangu ya nida haipatikani mtandaoni

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,813
8,662
HABARINI.
Namba yangu ya nida AU national identity number NIN nikijaza sehem zinazo ihitaji au kupata nakala ya kitambulisho hicho nambiwa namba hiyo haipo wakati mwanzo nilikiwa natumia hata kwa kuhakiki lain ya kwa usajili wa vidole vodacom.

Kama kuna anae jua au ishauri nini nifanye tafadhari naomba awasilishe humu
asanteni by Trained bender
 
Je ulishawahi kumsaidia mtu kuweka alama za vidole kwenye ule mtambo??
Au taarifa zako zina mashaka labda!!

Yote kwa yote jaribu kuwatafuta kwa kuwapigia simu hao nida kama upo mbali na ofisi zao.

Ila kama upo mjini hasa dar basi nenda kwenye ofisi zao zilipo karibu nawe.
 
Back
Top Bottom