Namba yangu umeipata wapi?

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
616
548
Hili ni moja ya kati ya maswali yanayopendwa kuulizwa na hawa dada zetu pindi unapofanikiwa kupata namba yake bila ya yeye mwenyewe kukupatia.

Swali hili ni fupi sana ila jibu lake linakuaga gumu kiasi flani maana inawezekana umeipata kupitia kwa rafiki yake wa karibu na unawezakuta huyo rafiki yake hakumtaarifu mwenye hiyo namba ya simu au kwa kusahau au kwa makusudi kwamba amekupatia namba yake ya simu.

Mara nyingi wadada wanapotuuliza swali kama hili wengi wetu huwa tunashikwa na kigugumizi mana kadri unavyomjibu ndipo anapozalisha maswali mengine kulingana na majibu yako.

Je ni swali gani ukiulizwa na mdada au mvulana unakosa jibu la haraka na la kueleweka?
 
Hili ni moja ya kati ya maswali yanayopendwa kuulizwa na hawa Dada zetu pindi unapofanikiwa kupata namba yake bila ya yeye mwenyewe kukupatia.

Swali hili ni fupi sana ila jibu lake linakuaga gumu kiasi flani mana inawezekana umeipata kupitia kwa rafiki yake wa karibu na unawezakuta huyo rafiki yake hakumtaarifu mwenye hiyo namba ya simu eiza kwa kwa kusahau au kwa makusudi kwamba amekupatia namba yake ya simu.

Mara nyingi wadada wanapotuuliza swali kama hill wengi wetu huwa tunashikwa na kigugumizi mana kadri unavyomjibu ndipo anapozalisha maswali mengine kulingana na majibu yako.

Je ni swali gani ukiulizwa na mdada au mvulana unakosa jibu la haraka na lakueleweka ?
ngoja waje
 
Back
Top Bottom