Namba na Majina ya Matapeli. Hizi hapa nawe Kama unawafahamu Weka Tuwaumbue

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,447
Tabia ya matapeli wa kwenye mitandao bado haijakoma. Wanaopiga na kutuma Meseji naomba niweke hapa namba zao. Nawe kama unazo tafadhali weka hapa Na Tuwasaidie Polisi pia Kuwakamata wakishirikiana na TCRA.

SASA NITUMIE IYO HELA KWENYE HII NAMBA 0717077333(CHARLES HOMBO)JITAHIDI UTUME SASA IVI.

0712 691 584
0628 824 233
0620 395 213
0745 760 237

Hapa kuna wale wanaojifanya waganga, kuna wanaojifanya wana deal la pesa na wale wapuuzi wanaosema ile pesa tuma namba hii.
 
Wengine hawa hapa... Kina TATU MZUKA na BIKO na vingine vinavofanana na hivo wanakera sana na mimeseji yao
Screenshot_20190221-080828.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia ya matapeli wa kwenye mitandao bado haijakoma. Wanaopiga na kutuma Meseji naomba niweke hapa namba zao. Nawe kama unazo tafadhali weka hapa Na Tuwasaidie Polisi pia Kuwakamata wakishirikiana na TCRA.

SASA NITUMIE IYO HELA KWENYE HII NAMBA 0717077333(CHARLES HOMBO)JITAHIDI UTUME SASA IVI.

0712 691 584
0628 824 233
0620 395 213
0745 760 237

Hapa kuna wale wanaojifanya waganga, kuna wanaojifanya wana deal la pesa na wale wapuuzi wanaosema ile pesa tuma namba hii.
 
Attachments

  • IMG-20200410-WA0025.jpg
    IMG-20200410-WA0025.jpg
    18.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom