Namba mpya za magari zaja

Kashaija

JF-Expert Member
Aug 7, 2008
255
58
2FF0D77C-2843-47ED-ABFD-D1DB98043C49.jpeg


T 999 UKE nk.
 
Kwanini mnaona aibu kujadili kitu ambacho baada ya muda mfupi mtakiona? Hivi kama kuna namba T 444 ABA, T 213 ADW, T 255 ANA, huoni huko tuendako tutapata hizo namba?

Nadhani cha kufanya ni kwamba tujadili kwa pamoja namna tunavyoweza kufikisha ujumbe mapema kwa wahusika ili namba hizo zirukwe.

Nimesahau nyingine moja; T 247 TIA.
 
Kwanini mnaona aibu kujadili kitu ambacho baada ya muda mfupi mtakiona? Hivi kama kuna namba T 444 ABA, T 213 ADW, T 255 ANA, huoni huko tuendako tutapata hizo namba?

Nadhani cha kufanya ni kwamba tujadili kwa pamoja namna tunavyoweza kufikisha ujumbe mapema kwa wahusika ili namba hizo zirukwe.

Nimesahau nyingine moja; T 247 TIA.
....What's special guys?? It's just vehicle registration number mambo mengine nyie ndio mnatengeneza.....Kashaija move on!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamii Forum ni sehemu ya kuelimisha, kukosoa, kurekebisha na kutoa mwelekeo kwa jamii at large. Mbona wewe Kashaija unataka kuifanya sehemu ya jokes???? Please, mods fanyeni filtering ya postings. Kuna watu wengine wameingia hapa kuwa member kwa sababu wametumwa kuharibu hapa. Pengine vigogo wanaowatuma hawana muda na forum zaidi ya walio nao kwa misheni town zao au pengine hawajui hata kufungua computer zaidi ya kukaa mezani kupanga au kusaini fake contracts au kupanga deal.

Please, observe JF rules and guidelines. Mod hebu post neno la elimisho kwa members. Thanks.
 
Kitu cha kwanza I na O hazitumiki kuhusu hayo maneno mengine sijui itakuajee manake kuna watu na akili zao wanaendesha magari yenye namba T ... ASS sasa hivi
 
T 101 TIT, T 234 TOA, T 678 OTA, T 897 CUT, T 111 CUF, T 564 NBC, na kama hayo je? It is a very good anticipation
 
Sawa. Huo ni mradi wa mafisadi si unajua tukatae tusikatae lazima uje,si wanaendeleza ufisadi wao.Wanataka watukamue mpaka kaburini.La maana ni kwamba angalau zile namba zenye maana mbaya kwenye jamii waziruke.
 
Hahaha kweli balaa sasa maana kama ndio hivyo basi tunaelekea sehemu mbaya sana
 
Jamii Forum ni sehemu ya kuelimisha, kukosoa, kurekebisha na kutoa mwelekeo kwa jamii at large.[/COLOR] Mbona wewe Kashaija unataka kuifanya sehemu ya jokes???? Please, mods fanyeni filtering ya postings. Kuna watu wengine wameingia hapa kuwa member kwa sababu wametumwa kuharibu hapa. Pengine vigogo wanaowatuma hawana muda na forum zaidi ya walio nao kwa misheni town zao au pengine hawajui hata kufungua computer zaidi ya kukaa mezani kupanga au kusaini fake contracts au kupanga deal.

Please, observe JF rules and guidelines. Mod hebu post neno la elimisho kwa members. Thanks.



Yes, now u are talking, Kuelimisha, kukosoa, kurekebisha na kutoa mwelekeo kwa jamii at large. Kama kweli unamaanisha hiyo sentence iliyopita, shida iko wapi kama tukiwaambia/kuwaelimisha wahusika mapema ili hizo namba waziruke? Hii ndiyo hoja yangu ya msingi tangu mwanzo japokuwa napigwa vita. Imagine mgeni amekutembelea nyumbani kwako, kisha mtoto anawakuta sebuleni, kisha anasema baba, namba ya gari ya mgeni ni T ... B..O, utajisikiaje?

Naomba tusiogope kujadili mambo ya msingi kwa kisingizio cha kuchafua jukwaa! Shy upo hapo?
 
Kuelimishana ni muhimu lakini, hebu subiri kidogo, Post hii ipo kwenye Main Topic Jokes/Utani . Mtoa hoja nadhani amejikita katika somo tajwa-Utani, na kaona mbali kwa sababu namba za magari-ambazo ndo mfumo uliopo accross SADC??? zinafuata mfumo huo. Namba zote walizoandaika wachangiaji ni sahihi kabisa ktk mfumo wa usajili magari unaotumika sasa. Nongwa ni tafsiri ya hizo namba???????, anyway ni utani jamani tusiwahukumu kwa ubunifu wao, tulipaswa tuwape moyo wagundue na mengine mengi mbeleni...
 
Back
Top Bottom