namba hizi *152*00# NEC toeni tangazo

mugajwale

Senior Member
Feb 19, 2015
105
23
Hizi namba nimekutana nazo kwenye mitandao ya kijamii eti hakiki kitambulisho cha mpiga kura,bila hiyana nikaingia mkenge,nikafata prosesi,mpka mwisho naambiwa ingiza namba za kitambulisho,nikatekeleza,baada ya hapo sikupata taarifa yoyote,sasa nahisi ndo goli la mkono linaanzia hapa,chonde chonde,NEC toeni tamko,kama hiki kitu kipo,siasa za 95 sio za leo,kuna mabadiliko makubwa ya fikra na mitazamo,nawasihi kama mbahusika wekeni matangszo ya kutosha watu waelewe nini mantiki yake,la sivo ni shida mbele ya safari,watanzania julishaneni,usitoe namba kwa kikatagosi chochote,hata usajili wa m pesa km una kitamvulisho kingine tumia ili kuepusha mkanganyiko mbele ya safari
 
Mm siwezi kujaribisha hata siku moja ni sawa kumpa hela zako kibaka akazipime kama ni zenyewe
 
Ahsante kwa news but NILITARAJIA nec watoe tamko japo bado wako kimya.
Upuuz kama huu ni wa kulaaniwa na wahusika kuchukuliwa hatu za kisheria LAKINI watathubutu basi,INAKERA KWA KWELI.
 
Back
Top Bottom