Namba hii ya tapeli 0744705462, TCRA fungieni

mpiga era

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
1,303
2,000
Namba nyingine ni 0658454208,yeye staili yake anakupigia na kujifanya ni mtoa huduma kwa wateja.
Ukimshtukia anaanza kutoa matusi,nashangaa tcra wanaendelea kuwafumbia macho hao matapeli.
Ni huyu mpumbavu na Mimi alinipigia aisee
 
Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
18,124
2,000
Hii namba imesajiliwa kwa jina la AMINA DILUNGA, kazi Yake kutuma message za kitapeli kwamba kakosea muamala.

Nilichokiona Hadi leo Kuna watu wanaamini maneno ya Hawa matapeli.

Elimu za vijana wengi si za kufuta ujinga tuwasaidie kwa kufichua hizo namba maana bila kumsikia kijana akiongea na huyu tapeli alikuwa tayari anataka kwenda kwa wakala.

Ongezeji namba za matapeli hapa.
Asante sana kwa kuripoti.
Tunalifanyia kazi.
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
10,035
2,000
Hii namba imesajiliwa kwa jina la AMINA DILUNGA, kazi Yake kutuma message za kitapeli kwamba kakosea muamala.

Nilichokiona Hadi leo Kuna watu wanaamini maneno ya Hawa matapeli.

Elimu za vijana wengi si za kufuta ujinga tuwasaidie kwa kufichua hizo namba maana bila kumsikia kijana akiongea na huyu tapeli alikuwa tayari anataka kwenda kwa wakala.

Ongezeni namba za matapeli hapa.

====
Tafadhali Kadhi Mkuu 1 fuata ushauri wa Kanungila Karim katika uzi huu

Fuata njia hii kuripoti namba inatumika kwenye utapeli
Kuna mmoja anajiita Mohamed Chawa ,kwamba yuko PSSF Kibaha ,akigundua una madai hapo atakudanganya kwamba anakufanyia mpango upate malipo yako,lazima akupige.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom