Uchaguzi 2020 Namba 7: Wakili Simba Richmond Akaro Neo atangaza nia kugombea urais kupitia CHADEMA

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Wakili Simba Richmond Akaro Neo, akionyesha mbele ya waandishi wa habari fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA leo Ijumaa 10/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es salaam.

1594370731240.png

Wakili Simba Richmond Akaro Neo, akiongea na umma wakati akichukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia
CHADEMA leo Ijumaa 10/7/2020,Makao Makuu ya Chama, Kinondoni jijini Dar es salaam.

1594370748311.png

Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA Reggy Munisi (kulia) akimkabidhi fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia Chadema, Wakili Simba Richmond Akaro Neo, leo Ijumaa 10/7/2020, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni jijini Dar es salaam.

"Kuipatia PCCB UHURU, kukuza Demokrasia na Wajasiriamali na kurejesha hadhi ya Tanzania kimataifa" Mtia nia nafasi ya Urais kupitia
CHADEMA Wakili Simba Richmond Akaro Neo, akiongea na umma kupitia waandishi wa habari wakati wa kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ijumaa 10/7
 
Back
Top Bottom