#COVID19 Namba 199 kuhusu chanjo ya COVID-19 ni utapeli au nini?

Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
3,434
1,985
Asalam-alaikhoom Wana-JF

Leo 05/10/2021saa 10.10 asbh kwanza nilipokea ujumbe ukisema:
"Chanjo ya corona ni salama......piga 199 Bure"

Hivyo nilitaka kujua niende wapi ili kupata chanjo ya COVID 19 karibu na makazi yangu.

Nilipopiga hiyo namba ikapokelewa lakini kilichofuata ni mambo tofauti na nilivyotegemea!

Badala ya kuzungumzia COVID 19 yalianza maelezo marefu dakika karibuni 10, kuhusu vitu vingine kabisa!

Mwisho nikaambiwa nipigie 9 kuongea na mhudumu. Simu ikalia tena lakini hakuna aliepokea nikakata.

Nataka niwashauri hivi wahusika na tcra kama ifuatavyo:

1. Heshimuni wadau wenu kwenye huduma na mawasiliano nao ili msiwapotezee muda.

2. Punguzeni ngonjera zisizo na faida kwa watumiaji wa namba mnazotoa. Kwamfano mambo ya malaria, UTI, shingo ya uzazi yanahusikaje na COVID 19 vaccines?

3. Mnapotugeuza captive audience kupitia muda wetu ni dharau! Mnaharibu lengo la zoezi zima!

TCRA take action kukomesha tabia hii katika simu na TV networks pia tunasumbuliwa sana na interruptions za promo ads, betting sites nk.

Stop making us your captive audience!
 
TCRA nao ni washiriki hawawezi kufanya lolote walikwisha ziba masikio hawatusikilizi.
 
Back
Top Bottom