Zanzibar 2020 Namba 10: Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar

Prof hawezi kuwa Rais wa Zanzibar kwa sababu kuu mbili:

1.Huyu ni mpemba kutoka mkanyageni hawawezi kuingia ikulu wapemba wawili kwa kufuatana haiwezekani katu asilani wahafidhina wa unguja wakakubali hili(Rejea mwaka 1985 wakati wanamtafuta mrithi wa mwinyi urais wa Zanzibar, waunguja wahafidhina walikataa kata kata Dr. Salim kuwa Rais kwa kigezo cha upemba wake na Rais Julius Nyerere akashindwa kumfanya kipenzi chake Dr. Salim kuwa rais...
Mbarawa ndiye mtu sahihi ili kuondokana na utwala wa kifalme!
 
Namba za bahati kiroho ni 1, 3, 7, 10, 12 na 40. Najua 40 hawatofika
Wenye namba hizo mmoja wao ndiye Rais wa Zanzibar ajaye. Amini usiamini.
 
Sasa nimeeleewa kuwa Msomi akiingia kwenye siasa ndio basi tena! Prof akili zote hizi Tangu aingie kwenye Siasa hajaandika hata andiko moja kwenye Uongozi au Utawala kwenye Sekta alizoziongoza ...

what a shame!
 
Prof hawezi kuwa Rais wa Zanzibar kwa sababu kuu mbili:

1.Huyu ni mpemba kutoka mkanyageni hawawezi kuingia ikulu wapemba wawili kwa kufuatana haiwezekani katu asilani wahafidhina wa unguja wakakubali hili(Rejea mwaka 1985 wakati wanamtafuta mrithi wa mwinyi urais wa Zanzibar, waunguja wahafidhina walikataa kata kata Dr. Salim kuwa Rais kwa kigezo cha upemba wake na Rais Julius Nyerere akashindwa kumfanya kipenzi chake Dr. Salim kuwa rais...
Dr mwinyi znz 2020

Mbarawa anauza jina sasa ila 2025 ndiye anapokea kijiti cha JPM
 
Prof Makame Mbarawa naona atashinda kwa 100%. Akikosa huyu basi Nahodha, ila huyu sababu kafanya kazi sana na Mkuu wa sasa, ana upper hand kuwa Rais wa Zanzibar. Makame kila la kheri, Mungu akutangulie.
 
Prof hawezi kuwa Rais wa Zanzibar kwa sababu kuu mbili:

1.Huyu ni mpemba kutoka mkanyageni hawawezi kuingia ikulu wapemba wawili kwa kufuatana haiwezekani katu asilani wahafidhina wa unguja wakakubali hili(Rejea mwaka 1985 wakati wanamtafuta mrithi wa mwinyi urais wa Zanzibar, waunguja wahafidhina walikataa kata kata Dr. Salim kuwa Rais kwa kigezo cha upemba wake na Rais Julius Nyerere akashindwa kumfanya kipenzi chake Dr. Salim kuwa rais..
Hii nchi siyo ya kifalme na hakuna mambo ya babake kuwa Rais haimaanishi na yeye lazima awe Rais.
 
Back
Top Bottom