Namaliza deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu mwezi huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namaliza deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu mwezi huu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyikanavome, Jan 11, 2012.

 1. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 442
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF wenzangu, ninayo furaha kukufahamisheni kuwa nitamaliza deni langu la mkopo wa bodi ya elimu ya juu mwezi huu. Zamani walikuwa walikuw wakinikata 10,000 kwa mwezi wakaja kubadili ghafla wakaanza kuata kama laki na elfu thelthini kwa mwezi.
  Natumai marejesho yangu na wenzangu yatawasidia wadogo zetu waendelee kupata mikopo kwa wakati

  Natoa wito kwa wana JF Wenzangu walikopeshwa kama wana namna ya kurudisha warudishe mkopo
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  ningekuwa nimekopeshwa, nisingelipa hadi EPA ilirudishwe.
   
 3. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 442
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kurejesha ni lazima sio hiari, ni vile tu Tanzania ni wavivu kufuatilia. Kuna mikataba ambayo wanafunzi wanasign kabla ya kupewa mkopo
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,911
  Likes Received: 1,941
  Trophy Points: 280
  Kwani wale waliombwa warudishe hela za EPA vipi washarudisha? Na zile bil64 mbona zimeingia kwenye account ya rizmoko? Wakirudisha hao na mi nitaanza kurudisha.
   
 5. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 442
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hayo mliyosema Kongosho Na King Kong III ni kweli kabisa, Wale jamaa wa bodi ya mikopo wakimbamba muajiri ambaye ameajiri watu wenye mkopo huwa wanamchimba mkwala ili awapelekee makato ya vijana wake alio waajiri kila mwezi. Nadhani faini ni kama milioni tano kwa mwajiri ambaye hapeleki makato ya wafanyazi wake. Hiyo ndio kitu iliyotupata mpaka ikabidi tulipe.
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hahahaha nakupenda sana wii
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  mie naweza acha kazi nikajiajiri kuliko kulipa serikali hata sh.50
  inavyoniudhi hii gavument, basi tu.

  Huyu silaha naye wakamchakachua afu akatulia tu badala ya kutuambia tuingie msituni.
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 7,575
  Likes Received: 1,553
  Trophy Points: 280
  Big up! Kitengo wapi!
   
Loading...