Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Wakuu Huko Tanzania kukoje upepo wa ajira?
Nashukuru Sana mkuuZipo kibao we njoo
Kua siriasi Basihunahaja ya kuja huku sisi na al-shababi tutakuajili ukiwa huko huko lete mawasiliano yako
Mtaji gani mkuu kivipiNjoo na mtaji kazi utapata
Mkuu kwa nini si uniambie ama ujibu swali languUmerogwa wewe
Za kuuza chips mayai na maji ya typhoid ziko tele.Zipo kibao we njoo
Nashukuru Sana mkuu Ubarikiwe SanaKazi zipo, cha Muhimu CV yako itengeneze ivutie.
Karibu nyumbani
Wewe uliejiajiri una nini masikini Mkubwa wewe tena mla vumbi weweHakika Watanzania bado tumejazwa ujinga wa kitumwa. Hadi leo mtu anamaliza chuo anafikiria kuajiriwa hafikirii kuajiri au japo kujiajiri.
Hakika tuna safari ndefu sana ya kwenda.
You are very very funny my friendTulitegemea uje na ugunduzi wako kutoka London kumbe unakuja kutupunguzia soko la ajira! Njoo tu tutaelewana hukuhuku.