Namaliza chuo London University Vipi TANZANIA kuna ajira nije?

yani usome huko tena labda fani za sayansi afu uje huku unapo chimbwa mkwara na mkuu wa mkoa ambaye wakati wewe unainamisha mgongo na kujinyima usingizi yeye alikua anafanya siasa chafu huko kwingineko

kisa tu kateuliwa basi anaikanyaga taaluma yako. HUU NI UJINGA.!!!!
 
Back
Top Bottom