Namaliza chuo London University Vipi TANZANIA kuna ajira nije?

Hakika Watanzania bado tumejazwa ujinga wa kitumwa. Hadi leo mtu anamaliza chuo anafikiria kuajiriwa hafikirii kuajiri au japo kujiajiri.

Hakika tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Huo mtaji wa kujiajiri unautoa wapi.?
Watoto wa vigogo mna matatizo sana
 
Nashukuru Sana mkuu Ubarikiwe Sana
Naona unapenda kusikia majibu unayoyataka kusikia.
Asikudanganye mtu, kazi bongo uwe na mtu wa kukushika mkono otherwise utaoga vumbi mbaya na huyo wa kukushika mkono awe wa level fulani otherwise unaweza kupatiwa kazi ya kitunda kuleta mayai mjini kwa baiskeli.

Kama kuna kazi hapo komaa hapohapo asikudanganye mtu
 
Back
Top Bottom