ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Mimi nikiwa kama mzalendo wa nchi hii najitokeza hadharani huku nikiwa najivunia uwepo wa Jeshi letu hodari na mahiri la Polisi.
Wajinga wachache wanaojiita wahitimu wa wakati hata Final exams hawajafanya walikusanyika kwa kile walichokiita Mahafali ya CHASO. Walikusanyika bila kufata taratibu na sheria za Nchi zinavyotakikana, hivyo jeshi letu imara kupitia Intelijensia yake wakapata taarifa na kufanikiwa kuwasambaratisha wahitimu hewa.
Hivyo basi hongereni sana jeshi letu la polisi na hakika nyinyi ni mfano wa kuigwa. Hongera pia kwa RPC wa Dodoma.
Wito wangu kwa Watanzania wenzangu, Jeshi letu likifanya kazi nzuri kama ya leo basi hatuna budi kulisifia.