Nalipenda bunge la sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nalipenda bunge la sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ladyfurahia, Jul 21, 2011.

 1. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Hey wanajamii
  nimefurahia hoja mbalimbali zinazotolewa bungeni sasa ni za mantiki kabisa
  hasa katika kipindi hichi cha bajeti ya serikali, hususani bajeti ya Wizara ya Madini
  wabunge wamenifurahisha sana kuikataa ile bajeti kwani wamejua kilio cha waTZ haswa wanatanganyika
  kwani hili tatizo la umeme ni gumu kueleweka masikioni mwetu, wanatuambia mgao wakati
  sisi tunalala na njaa hawaoni hawa wazee wetu
  Bigup kwa wabunge wote endeleeni hivyohivyo
   
 2. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  sijui wenzangu wanajamii mnalionaje hili tatizo la umeme au wenzetu mko nanyi ulaya ndogo ya giza?
   
 3. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  mi mwenzernu nimechoka kwani kila kazi natumia umeme sasa nalala na njaa sijui la kufanya
  mana askilimu nikiweka katika jokofu zinaharibika nifanyeje robot?
   
 4. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  labda niuze nini dagaaaa au nishaurini kwani kila siku iendayo kwa Mungu sina kitu tumboni nabaki naweweseka tu
  sijui mie mgao utaisha lini? tufanyeje au tuwatafute wafadhili waje kuinvest katika tanesko
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ukiendela hivi kesho tu nawe utakuwa kwenye list ya wanaoongoza kwa kuwa na Thread nyingi......keep it up
   
 6. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nadhani ndio madhumuni yake haswaaa.
   
 7. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Unapenda bunge au unampenda speakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!
   
Loading...