Naliona anguko la Harmonize tangu kujitoa kwake WCB

Yaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna uthubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
Kwa hii punch basi ilibidi thread iwe closed
 
Mkipewa criticism kwa mnachokipenda mnaona ni hatred.
Harmonize hana hit song yoyote aliyoimba mwenyewe ukiachana na Aiyola ambayo nayo alipromotiwa na mtu flan.
-it z so sad, floppy z hunting mmakonde.
Ni spouse wa European Citizen
 
Haters wa Harmonies kama hamuelewi ni kuwa, pamoja na kipaji cha mziki alichonacho Dogo, kwa sasa yeye ni spouse wa European Citizen.

Kufulia kwake hakutakuwa sawa na nyinyi, ana uwezo wa kukwenda kokote duniani kuanza upya.

Wataliano hawana dili, wao wenyewe rumba kali. Vishuka
 
Hivi huyo jembe n jembe ndo nani? Bora zamarad Kama n rafiki yake anaweza mpa ushaur mzur akatoboa. Challenge kea harmonize n kua hana media kubwa ya ndani itakayo mpa sappot hand to hand mpka kilelen. Clouds hawato weza wasafi ndo kabisa na kule efm ndo kabisaaa maana hawaeleweki. list inge msaidia kuweka sawa na media yoyote happy juu kutampa matokeo. Kuliko kuitegemea insta pekee
 
uharo
 
Yaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna uthubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
Ungekuwa mwanaume ningekupa zawadi umuoe huyo njemba....
 
Mtoa mada nyoa ndevu rudi nyumbani kwa babaako ukafunge kitanda ukae...bado hujachelewa.
 
Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria sana huyu dogo naona anapotea vibaya sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazozifanya sidhani kama zitazaa matunda.

Hivi kweli kiburi anachopata kwa hela za ukweni kitamfanya awe juu zaidi ya Mondi? Jibu ni hapana siku tu wakiachana na Sara ndo basi tena.

Halafu huyu jembe ni jembe anaweza kustahimili figisu za muziki wa bongo kweli au anampa kiburi dogo kwa sababu yupo kwenye peak?

Watu wanaompoteza dogo wanakosea sana na hawawezi mfikisha dogo popote. Nafikiri watu wabaya kwa Harmonize ni Jembe ni jembe, Zamaradi Mketema, Dully Sykes.

Wanampoteza sana wengi humu wanazungumzia mtoto akikua akajitaftie lakini Harmonize sio mtoto kwa Diamond. Harmonize hakupaswa kuondoka WCB kulingana na hali aliyokuwa nayo zamani na sasa hivi. Ushauri wangu kwa dogo muda anao, arudi tu kuomba yaishe aendelee na kazi WCB.

View attachment 1227487
Usifurahi juu yangu, eeeh rafiki yangu. By Upendo Nkone
 
1. Wcb sio Mungu mwacheni Mungu aitwe Mungu.
2.usipende kutunzwa face maisha kama mwanaume.
3.Anaye dhubutu huwa kidume au jike ila anayeogopa kuface maisha ni ZOBA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom