Naliona anguko la Harmonize tangu kujitoa kwake WCB

size 96

Senior Member
Aug 31, 2019
135
143
Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria sana huyu dogo naona anapotea vibaya sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazozifanya sidhani kama zitazaa matunda.

Hivi kweli kiburi anachopata kwa hela za ukweni kitamfanya awe juu zaidi ya Mondi? Jibu ni hapana siku tu wakiachana na Sara ndo basi tena.

Halafu huyu jembe ni jembe anaweza kustahimili figisu za muziki wa bongo kweli au anampa kiburi dogo kwa sababu yupo kwenye peak?

Watu wanaompoteza dogo wanakosea sana na hawawezi mfikisha dogo popote. Nafikiri watu wabaya kwa Harmonize ni Jembe ni jembe, Zamaradi Mketema, Dully Sykes.

Wanampoteza sana wengi humu wanazungumzia mtoto akikua akajitaftie lakini Harmonize sio mtoto kwa Diamond. Harmonize hakupaswa kuondoka WCB kulingana na hali aliyokuwa nayo zamani na sasa hivi. Ushauri wangu kwa dogo muda anao, arudi tu kuomba yaishe aendelee na kazi WCB.

Screenshot_20191009-124922~2.jpeg
 
Yaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna uthubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
 
Yaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna udhubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
Ameen..

But pia hata WBC kama label harmonize alikuwa anaibeba saaana sio kama lavalava au rayvan.

Wenyewe WBC wanayumba. Wanategemea mtu mmoja tuu dai ambae keshafika peak sasa ana increase at decreasing rate.

Ingekuwa vema jamaa angemshauri nini chakufanya na sio kumwambia arudishe mpira kwa kipa
 
Sijui wap wanapata ujasiri wa kua na chuki mioyoni mwao naiona hii ata kazn,kama mtu anaweza kukufanyia mabaya unaona vp akiwa mbali?

Lets love one another na kama hutapenda anachofinya mtu bas kaa kimya hamna haja ya kuongea vibaya.

We lives everyday and die once.
 
Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria Sana uyu dogo naona anapotea vibaya Sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazo zifanya sidhani Kama zitazaa matunda

Ivi kweli kiburi anacho pata kwa hela za ukweni kitamfanya awe juu zaidi ya mondi jibu ni hapana siku tu wakiachana na Sara ndo basi tena

Afu uyu jembe ni jembe anaweza ku stahimili figisu za muziki wa bongo kweli au anampa kiburi dogo kwa sababu yupo kwenye pick

Watu wanao mpoteza dogo wanakosea Sana na hawawezi mfikisha dogo popote nafikiri watu wabaya kwa harmonize ni awa apa
Jembe ni jembe
Zamaradi mketema
Dully
Wanampoteza Sana wengi umu wanazungumzia mtoto akikua akajitaftie lakini harmonize sio mtoto kwa diamond harmonize hakupaswa kuondoka WCB kulingana na hali aliyo kua nayo zamani na saizi ushauri wangu kwa dogo muda anao arudi tu kuomba yaishe aendelee na kazi WCBView attachment 1227487
acha kujikuta sheik yahaya
 
kama kazi za kufanya hauna sema tukupe kazi, muache harmonize na maisha yake...mwanaume mzima unafuatilia maisha ya mwanaume mwenzako ili iweje..!!?
 
Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria Sana uyu dogo naona anapotea vibaya Sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazo zifanya sidhani Kama zitazaa matunda

Ivi kweli kiburi anacho pata kwa hela za ukweni kitamfanya awe juu zaidi ya mondi jibu ni hapana siku tu wakiachana na Sara ndo basi tena

Afu uyu jembe ni jembe anaweza ku stahimili figisu za muziki wa bongo kweli au anampa kiburi dogo kwa sababu yupo kwenye pick

Watu wanao mpoteza dogo wanakosea Sana na hawawezi mfikisha dogo popote nafikiri watu wabaya kwa harmonize ni awa apa
Jembe ni jembe
Zamaradi mketema
Dully
Wanampoteza Sana wengi umu wanazungumzia mtoto akikua akajitaftie lakini harmonize sio mtoto kwa diamond harmonize hakupaswa kuondoka WCB kulingana na hali aliyo kua nayo zamani na saizi ushauri wangu kwa dogo muda anao arudi tu kuomba yaishe aendelee na kazi WCBView attachment 1227487
kaa ukijua hii ni Biashara na wala hakuna anguko, hawa ni kitu kimoja walichofanya wamefungua tawi tu linalojulikana kwa jina la kondeboy
 
Ndio maana wewe unazeekea hapo kwenye kakibarua kako..huku uliekuwa nae hapo job ...baadae akapata mchongo akaacha kazi na ukamcheka sana...Ila amepata job inayolipa Mara 10 zaidi yako!!!! usiogope kujaribu
 
Kwanini tunapenda kuwakatisha tamaa watu wanaojaribu vitu fulani??Kwann uombee waachane na Sarah ww kama nani??Mungu ndio aliyewaunganisha , na umejuaje kama anategemea hela za ukweni, acheni chuki zenu, tunapaswa kuombeana mema na sio kumuombea mwenzako aanguke, sijui utapata furaha gani
 
Acha uoga wa maisha huwez kufanikiwa kama huna uthubutu .Kijana amethubutu kufanikiwa out of WCB au kutokufanikiwa hayo yatakuwa matokeo.
 
Harmonize z going to experience floppy ASAP.

-He z not as talented enough as Diamond, after becoming successful he forgot that he z there coz of the man he z against.
Feeling himself big headed
-Atleast he had to tell goodbye than leaving controversially n stub the back which raised him.

-His music will get challenged by opposition from his former WCB, i don't believe if he z gonna withstand them.
He will have to dribble past Diamond.
Is he good enough to overcome him.
I'm waiting, let us wait.
 
Yaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna uthubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
Unaakili kubwa. Sana . ila kama umeazima niambie
 
Yaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna uthubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
Kweli sana
 
Harmonize z going to experience floppy ASAP.

-He z not as talented enough as Diamond, after becoming successful he forgot that he z there coz of the man he z against.
Feeling himself big headed
-Atleast he had to tell goodbye than leaving controversially n stub the back which raised him.

-His music will get challenged by opposition from his former WCB, i don't believe if he z gonna withstand them.
He will have to dribble past Diamond.
Is he good enough to overcome him.
I'm waiting, let us wait.
Ona hili jinga
 
Haters wa Harmonies kama hamuelewi ni kuwa, pamoja na kipaji cha mziki alichonacho Dogo, kwa sasa yeye ni spouse wa European Citizen.

Kufulia kwake hakutakuwa sawa na nyinyi, ana uwezo wa kukwenda kokote duniani kuanza upya.
 
Mkipewa criticism kwa mnachokipenda mnaona ni hatred.
Harmonize hana hit song yoyote aliyoimba mwenyewe ukiachana na Aiyola ambayo nayo alipromotiwa na mtu flan.
-it z so sad, floppy z hunting mmakonde.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom