Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,441
- 4,574
Aya vijana wa .com mtapata shida kweliiiAisee chalii unaongelea nini I? Yanisikupati kabisa naona mauza uza ariifff
Aya vijana wa .com mtapata shida kweliiiAisee chalii unaongelea nini I? Yanisikupati kabisa naona mauza uza ariifff
Katika peji za love stori....wanawake waliochorwa na ile mishepu yao sijawahi kuona nchi hii.Ktk ulimwengu huu na kazi nzuri zilizokuwemo mule kama action,mapenzi,vichekesho,wangeshirikiana na watengeneza katuni wa kimataifa mbona wangekuwa mabilionea,taarifa nilizonazo Masoud Kipanya alichoma nakala zote alizojitunzia za gazeti pendwa LA Sanifu,Kwanini Kipanya lakini ufanye hivyo?
Baada ya kuandamwa na aliowachora. Naomba muungane sasa Serikali yetu pendwa inawajali wasanii ili mzitafute nakala iwaunganishe na wa kimataifa hasa wabobezi wa katuni zitolewe kazi zenu,katuni za kwenye luninga.
HahahaKatika paji za love stori....wanawake waliochorwa na ile mishepu yao sijawahi kuona nchi hii.
Walikuwa wanachora mademu wakali...nilikuwa kakiss hadi gazeti
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Uzee mwisho Facebook hum hakuna wazeeView attachment 1577951
Hivi hili jarida la Sani hawawezi kulirudisha tena sokoni washika dau? Maana lilikua lina soko sana
Umelisahau gazeti la Kashesh
Daaa kweli mkuu, nakubaliana na wewe kabisa. Hiki ni kizazi kipya.Umri ushapita, leo hii huwezi tena kucheka kwa vibonzo kama zuzu... hiki kizazi nao wana raha zao.
Siku hizi Instagram na fesibuku tu.
Vumbi la kintintalewimbi la kintintale
Vipi wakihamishia ktk katuni ya kwenye videoDaaa kweli mkuu, nakubaliana na wewe kabisa. Hiki ni kizazi kipya.
Kwani siku hizi SANI halipo na visa vya SokomokoKama gazeti la sani lilikuwa lina subiriwa kwa hamu kubwa sana