Nalia na gazeti la zamani Sanifu, Sani, Tabasamu, By Kingo, Bongo na kadhalika,kwani ni matajiri ktk ulimwengu wa sasa wa katuni...

Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
10,109
2,000
Ktk ulimwengu huu na kazi nzuri zilizokuwemo mule kama action,mapenzi,vichekesho,wangeshirikiana na watengeneza katuni wa kimataifa mbona wangekuwa mabilionea,taarifa nilizonazo Masoud Kipanya alichoma nakala zote alizojitunzia za gazeti pendwa LA Sanifu,Kwanini Kipanya lakini ufanye hivyo?

Baada ya kuandamwa na aliowachora. Naomba muungane sasa Serikali yetu pendwa inawajali wasanii ili mzitafute nakala iwaunganishe na wa kimataifa hasa wabobezi wa katuni zitolewe kazi zenu,katuni za kwenye luninga.
Katika peji za love stori....wanawake waliochorwa na ile mishepu yao sijawahi kuona nchi hii.
Walikuwa wanachora mademu wakali...nilikuwa nakiss hadi gazeti

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
3,230
2,000
Hivi Pimbi aliwahi fanikiwa kupata mzigo? Kuna bro wangu alikuwa akija kijijini toka Dar alikuwa ananipiga fix kuwa Ndumikakuwili anaishi Manzese halafu Pimbi anaishi Masaki mtoto wa kishua, Betina anaishi Tandale kwa Tumbo dah Mungu amrehemu
 

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
326
250
matoto ya sasa hiv hata hayajui utamu wa zille garazet za sani na bongo.ndio nikijifunzia kusoma enzi hizo 1995- 6..
nashangaa sana wachora vibonzo wamekaa kuchora siasa tu na kudhihaki wat ambao ni kama baba zao
badala wajikite kwenye ku produce comic books kama nchi za nje vile mfano wa dc comics na kupata mabilion ya fedha
kweli tupo nyuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom