Nzige The Bless
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 990
- 738
Hahahaha mkuu umenifurahisha sana hawa jamaa walikua maarufu sanq, ngoja niongezee kina Pimbi, mzee kifimbo cheza, lodilofa, madenge n.kHayo na magazeti maarufu ya burudani miaka ya 90s mpaka, kwa wakazi wa dar walikuwa wanaelewa sana hizo kitu huwaambii kitu gazeti moja linatuzwa linasomwa na mtaa mzima, unasoma kila siku story hazichoshi, kuna watu walikua maaraufu kuliko wanasiasa, kina kipepe, lodi lofa, mapun'go, bettina na zena..
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app