NALETA UCHUMI UNAOPAA: Jakaya Mrisho Kikwete

Na mwinyi ndie aliyemkataza Shein hasigombee maana Shein pia alitaka kujitosa; Lakini Mangula alimuogopea nini Mwinyi kilaza yule? hapa ndipo nashindwa kuelewa nini kilikuwa kinaendelea nyuma ya Pazia maana pia wanasema Mkapa alikuwa ajijui siku hizo na kuwa hata hotuba aliyotowa dodoma aliambiwa kuwa ndio aliyoongea akashangaa sana inasemekana Mkapa aliyekuwa ana hutubia CC na NEC ya CCM kabla ya kupiga kura alikuwa ni jini la Yahya maajabu sana hapa Afrika.
Hahaha, duh mkuu hii ni kali. Lakini kuna rummors nyingi sana mitaani kwamba JK alitumia sana pesa na uchawi kuweza kuingia kwenye nafasi aliyonayo. No wonder nchi inakwenda hovyohovyo. Maana hakuna jipya linaweza kutarajiwa kutoka kwa mtu aliyeingia kwa kutumia ushirikina. Ila nilichosikia ni kwamba hata Mangula alikosa nguvu baada ya kuona hana support aliyokuwa anaipata mwanzoni kutoka kwa Mkapa. Inasemekana Mkapa alikuja kubadilika ghafla, akawa haeleweki kama yupo for Kikwete au against. Kiasi cha kusababisha hata Salim amlaumu sana baada ya kura za NEC.
 
Hakuna kurudi nyuma. Kasi mpya inayozungumziwa ni ya kusonga mbele na siyo kuserereka na kurudi nyuma kwa kasi.

Nasikitika kwamba tumeserereka na tumerudi nyuma kwa speed ya light. Ee Mungu tunusuru waja wako maana hali ni chafu.
 
Uchumi wa nchi kuendeshwa kwa Ramli, ushauri wa kitaalam kutoka kwa Marehemu Sheik Yahaya, Muimbaji John Komba, akina Vicky Kamata na Mu-Iran Rostam Aziz kamwe haiwezekani kuzaa matunda zaidi ya kuzamisha kabisa matumaini kama ambavyo hali ilivyo hivi sasa nchini!!!!!!!

Nadhani hii hotuba alitowa kabla Sheik yahya hajamroga au alindikiwa na Rais aliyekuwa anamaliza muda wake.
 
Haya ndo maneno ya Jakaya Mrisho Kikwete Dec 2005 mpaka sasa hakuna cha maana mpaka uchumi umelegalega.Mtu anaweza kujiuliza je Jakaya Mrisho kikwete kajikwaa wapi?​
Uchumi Unaopaa
Mheshimiwa Spika:Baada ya mafanikio ya Awamu ya Tatu, haitarajiwi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne italegeza kamba na kupuuza misingi iliyotuletea mafanikio tunayojivunia. Najua mengi yamesemwa na watu wanaodai wanamfahamu Jakaya Mrisho Kikwete na jinsi atakavyolegeza mambo. Napenda kuwahakikishieni kuwa watu hao wamepotea sana.Wakati wa kampeni wapo baadhi ya wapinzani waliothubutu, kwa kukosa shukrani, kusema ati Serikali ya Awamu ya Tatu ilikuwa inatekeleza sera zinazobuniwa Washington. Serikali ya Awamu ya Nne haitaogopa kubuni na kutekeleza sera na mikakati ya maslahi kwa ukuaji wa uchumi na maisha bora kwa kila Mtanzania ati kwa vile zinaungwa mkono au kufadhiliwa na nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa.Hatutafanya lolote lisilo na maslahi kwa taifa letu kwa kuwaogopa au kutaka kujipendekeza kwa wakubwa hao. Lakini vile vile hatutaacha kufanya lolote la maslahi kwa taifa na Watanzania kwa vile tu linaenda sambamba na ushauri wa mashirika ya fedha ya kimataifa. Hatutafanya maamuzi kwa kutaka kupendwa; lakini tutafanya kila maamuzi kwa kigezo cha msingi cha maendeleo na maslahi ya taifa.Mheshimiwa Spika:Mbali ya kusukumwa na hoja ya kukuza uchumi haraka ili kupiga vita umaskini, tunasukumwa pia na ukweli wa nguvu za utandawazi na ushindani mkubwa katika masoko ya kanda na ya kimataifa. Hivyo basi, sote tuunganishe nguvu zetu ili tuongeze uzalishaji, tuongeze uwekezaji, tuongeze mauzo nje, tuongeze ubora wa mazao na huduma zetu na tuongeze kasi ya ukuaji wa uchumi wetu ili upae. Hakuna kurudi nyuma. Kasi mpya inayozungumziwa ni ya kusonga mbele na siyo kuserereka na kurudi nyuma kwa kasi.Update: source Jakaya Mrisho Kikwete-Jakaya Kikwete Speech,Jakaya kikwete news, Jakaya kikwete bringing world to Tanzania,Jakaya activites in Tanzania
Upuuzi mtupu...hotuba kutoka kwa kilaza isitegemee kuleta miujiza....
 
Nguvu ya soda, ukiifungua utasema leo mpaka majogoo..kufumba na kufumbua tulii hata povu uoni..kasi ya kupaa hiyo
 
Page last updated on January 12, 2011 Economy - overview:
Tanzania is one of the world's poorest economies in terms of per capita income, however, Tanzania average 7% GDP growth per year between 2000 and 2008 on strong gold production and tourism. The economy depends heavily on agriculture, which accounts for more than one-fourth of GDP, provides 85% of exports, and employs about 60% of the work force.

The World Bank, the IMF, and bilateral donors have provided funds to rehabilitate Tanzania's aging economic infrastructure, including rail and port infrastructure that are important trade links for inland countries. Recent banking reforms have helped increase private-sector growth and investment, and the government has increased spending on agriculture to 7% of its budget.

Continued donor assistance and solid macroeconomic policies supported a positive growth rate, despite the world recession. In 2008, Tanzania received the world's largest Millennium Challenge Compact grant, worth $698 million. Dar es Salaam used fiscal stimulus and loosened monitary policy to ease the impact of the global recession. GDP growth in 2009-10

SOurce:Tanzania Economy 2011, CIA World Factbook
 
Hii ilikuwa ni ahadi ya Chama cha Mapinduzi, hapa kilichoshindwa ni chama , leo hii Kikwete akijiuzulu mfumo utakuwa ule ule na ahadi hizi bado hazitatekelezeka
 
Hoi bin taabani kabisa,september mwaka huu umeme utazimika nchi nzima utabaki katika machimbo ya dhahabu tu,sijui tutakula hizo dhahabu kwa ufupi ni kuwa tunaelekea shimoni kabisa hivi sasa nchi atasimama ghafla hakuna kitakachoendelea na ndiyo utakuwa mwisho wa ahadi hewa uliona wapi mtoto wa binadamu anazaliwa na kukimbia hapohapo labda wa Mbuzi hata wa nguruwe analala kwanza akitafuta nguvu.
 
usijali sana mkuu kwani hizi zilikuwa ni kampani kama ulivyosema, moreover unajua mkulu ni aina ya watu ambao ni vigeugeu sasa unategemea nini!? Kwa vile yote yako wazi labda umuombe ajiuzulu maana kinachoitwa nguvu ya umma naona hakijaeleweka vizuri katika eneo hili la maziwa makuu!
 
Najiuliza na wala sipati picha; uchumi unaopaa ndio huu wa kufadhili uharibifu mazingira na ujambazi kwa nyara za umma????????
 
hapa ukiangalia kama kweli vile kumbe mashudu matupu labda anaweza kuzinduka maana inauma kinoma..
 
uongo, uongo una mwisho hivyo ataendekea kudharilika mapaka siku anaenda kaburi maana watu hawasahau
 
Back
Top Bottom