Nalea

Da Sophy

JF-Expert Member
May 12, 2010
388
250
Jamani nimewamiss! Nimejaliwa mtoto wa kiume yani mwenzenu niko bize hakuna mfano. Leo kidogo nimepata hizi dakika mbili nikaona niwakumbuke. Babake alipomwona tu nikamshangaa mwenzangu chozi linamlengalenga nikamwuliza vipi? Ati kisa kaona mwanae ana kidimpo kidevuni basi ndicho kimemliza anasema kimemkumbusha babake mzazi. Na kule kwa yule hakuna mtoto mwenye hicho kidimpo. Basi mie mwenzenu bichwa hilo!

Asanteni mlionitakia kheri. Siku nyingine tukijaaliwa nitaingia tena tushauriane hili na lile inshaallah lakini kwa leo naombeni tu niondoke mtoto mdogo sana huyu halafu sijazoea haya mambo. Byeee!
 
MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,819
2,000

Hongera ndugu...kumbe dada wewe ni kimada au nyumba ndogo?
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,472
1,225
Jamani nimewamiss! Nimejaliwa mtoto wa kiume yani mwenzenu niko bize hakuna mfano. Leo kidogo nimepata hizi dakika mbili nikaona niwakumbuke. Babake alipomwona tu nikamshangaa mwenzangu chozi linamlengalenga nikamwuliza vipi? Ati kisa kaona mwanae ana kidimpo kidevuni basi ndicho kimemliza anasema kimemkumbusha babake mzazi. Na kule kwa yule hakuna mtoto mwenye hicho kidimpo. Basi mie mwenzenu bichwa hilo!

Asanteni mlionitakia kheri. Siku nyingine tukijaaliwa nitaingia tena tushauriane hili na lile inshaallah lakini kwa leo naombeni tu niondoke mtoto mdogo sana huyu halafu sijazoea haya mambo. Byeee!
Congrats...zidni kupendana na kuikuza familia...!!
 
MUSINGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
804
1,000

mh sijui kwa nini,nahisi sikupendi mwizi wa waume za watu nakuombea mabaya yakufike wewe na hilo toto lako
 
JS

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
2,066
1,250
mh sijui kwa nini,nahisi sikupendi mwizi wa waume za watu nakuombea mabaya yakufike wewe na hilo toto lako

Sidhani kama hii ni sawa Musinga tena kwa mtoto maana mtoto hana kosa kwa vyovyote vile. Usimuombee mtoto mchanga wa watu aliyeletwa hapa duniani kwa kila sababu mambo mabaya, sio haki.

Hongera Da Sophy kwa kujaliwa mwana na nakutakia malezi mema.
 
siongelei ushabiki,wakati wa kwake anaombewa mzuri kuna wa mwenzie kule maisha yake yameshaharibiwa
 
kuberwa

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
568
250
mh sijui kwa nini,nahisi sikupendi mwizi wa waume za watu nakuombea mabaya yakufike wewe na hilo toto lako
Roho mbaya tu! Mtoto ni mtoto tu awe wa nje au ndani mradi kazaliwa! Tupo wengi kama vip jinyonge ufe tukutupe porini! Hongera Da Sophy
 
MUSINGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
804
1,000
Roho mbaya tu! Mtoto ni mtoto tu awe wa nje au ndani mradi kazaliwa! Tupo wengi kama vip jinyonge ufe tukutupe porini! Hongera Da Sophy
ntakuwa nimekugusa lazma,utanisubiria sana nijinyonge maana hutakaa uione maiti yangu wala kujua nilikufa lini polee!!
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,213
2,000
hongera sn best. maisha ndo kama hayo, yanaleta zawadi ndogondogo na kubwakubwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom