Nakuzimikia sana moderator FARIDA sina ujanja juu yako moyo wangu chukua

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman iwe juu yenu wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Nakuzimikia sana mrembo moderator farida wa jf Mimi kwako nimkufa nikaoza sina ujanja kabisa farida juu yako

Toka nijiunge macho yangu na masikio yangu huwa ni juu yako wewe ni asali juu yangu, wewe ni malikia wangu, your one in billions

Nielewe mrembo kwako nimefika nifungulie mlango wa upendo nikuonesho mahaba na malavi Davi

Moyo wangu unauma sana juu yako
Sina maneno mengi sana ila nakukabidhi moyo wangu chukua

Sitojali una umri kias gan wala sitojali ushatembea na wangapi wala sitojali hata ukiwa tasa Nina iman utanizalia mapacha wala sitojali hata kama ukiwa huna CHURA nakuomba achana na mamburula njoo kwangu LONDON BOY BEIRA BOY ROCK CITY BOY


Nakuzimikia sana farida



BOY FROM LONDON

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umenikumbusha Farida wangu

wakati niko kidato nilisoma na kaFarida kamoja hivi,demu alikuwa dizaini flat,halafu kanaongea darasa nzima hakuna...Spika cha mtoto

na nilikapenda...wakati naendelea kumla kwa macho,Mara kakatoweka skuli...baadaye nasikia kamezaa katoto kenzie

Hata hivyo kaliniepusha na msala kama kangeendelea kuwapo skuli
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom