Nakuwachieni majaji mfanye shughuli zenu (STOCKHOLM WHITE PARTY 2010)

Why do BLACK people so desperately want to be WHITE? I aint never seen a BLACK PARTY! It's always a WHITE PARTY! Arent we proud of our BLACK heritage? This is disgusting! Come to think, I KNOW some of these people! LOL! I call this GENERATION LOST!
 
I though it is white men's party kumbe ni blacks in white clothing part? damn
they are just desperate
 
Mbona mke wa zamani wa mtoto wa Danduu kachoka sana, halafu kuna demu mmoja hapo juu ana manido kama karai raaah

sijafanikiwa hata kumtambua huyo mdada wa marehemu dandu...ila wakaka wamependeza kweli kweli..,,pia mdada kwenye picha ya kwanza mkno wa kulia kapendeza na kigauni chake..Bila shaka baadhi ya JF member wako hapo:confused2:
 
Mie nimevutiwa na huyu kapendeza sana hata hairstyle yake iko bomba...

bestdressed2.jpg
 
kifaaa cha kwanza mkono wa kulia kiko poa sana...................!,mtoto mzuri sana angetoa hayo manywele ya plastick angekuwa 100% naturaly na hapo ndio faza ningezidi kupagawa...................................!
 
Hivi hii kitu inaitwa white party ni nini na maudhui yake ni yapi hasa? Kwanini imeitwa white na siyo black, blue, yellow, green au red?
 
sijafanikiwa hata kumtambua huyo mdada wa marehemu dandu...ila wakaka wamependeza kweli kweli..,,pia mdada kwenye picha ya kwanza mkno wa kulia kapendeza na kigauni chake..Bila shaka baadhi ya JF member wako hapo:confused2:

here she is:
 
Mmmm !!hivi tukisikia Sweden Sweden stockholm stockholm kumbe hali halisi ndio hiyo ? leo nimelewa kwa nini wavulana wa kibongo wakifika TZ wanawakimbiza wasichana warembo ,unapowauliza kina kaka kwani huko mnakoishi si ndio wapo warembo wazuri inakuwaje hii leo umekuja matembezi mnafukuzia vimwana kila unachokutana nacho na ukiwauliza kwani kina dada wa kibongo vipi huko mnakoishi wanakuwa hawana la kusema ,lakini kwa hali hii tunayoiona katika hizi sherehe tumewaelewa na kuwasikia vilio vyao wanapokuwapo hapa Bongo sijuwi wakiwa huko majuu hali inakuwaje .
 
ni warembo kama wangekua natural lkn hapo kila kitu fake,nywele hadi kucha mpaka rangi za ngozi kwa nini wasionekane sio warembo!
 
Why do BLACK people so desperately want to be WHITE? I aint never seen a BLACK PARTY! It's always a WHITE PARTY! Arent we proud of our BLACK heritage? This is disgusting! Come to think, I KNOW some of these people! LOL! I call this GENERATION LOST!
Mimi nilidhani aliyeandika alikuwa anamaanisha party ya wazungu, nilivyowakosa wazungu nikadhani anamaanisha kinyume,..., kumbe...lol!
 
Back
Top Bottom