Nakuuliza IGP Sirro, Mpaka sasa Polisi imewakamata watu wangapi waliotumika kuteka, kuumiza na kupora fomu za Wagombea wa Upinzani?

nani kasema nimekatwa ?

Sikuwoni kwa picha picha na tukamera twako.. kumbuka nyuma mulikuwa munajiachia na selfie.. tuwaone.. 😅😅😅😅😅... siku hizi mukaacha kujipiga na kurusha humu.. 🤗

Magufuli 2020 💯 usisahau kunishukuru kwa kukukumbusha.. naiona kura yako.. ukiweka bila wasi.. humu tumewazoea.. hata 2015.. wengi mulikuwa CCM kwa uamuzi.. na kwa mazuri ya Magufuli.. awamu hii.. naona wengi mutatamani mupige kura mara kumi kumi .
 
kuna haja ya wanajf kupimwa akili , huyu sidhani kama ni mzima
 
kuna haja ya wanajf kupimwa akili , huyu sidhani kama ni mzima

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
JF kuna tupo.. huwa hatusahau.. munarusha tu.. bora kunywa supu.. labda watabakumbuka viongozi wako..

Ya akili.. kweli bora ungenyamaza.. kuliko kujaribu kunikatisha.. ubongo wangu huwezi gusa.. si tumo humu tunafaidi.. ya jei efu..

Pokea zaidi.. usisahau kumushauri humu muteule wenu ajiande kuropoka.. ropoka.. mipasho.. ngonjera..

Magufuli 2020 💯
 
Ni aibu kubwa kwa wateule wa ccm kutumia hila na ukwasi wao kujenga mazingira feki kupitabbila kupingwa, wanakiburi hawafai kuwa viongozi, JPM ili hali ni amiri jeshi mkuu kawa mpole na kuamia walau kufuata sheria nyie kina nani!???
 
Hakika !
 
Neno gaidi lisitumike vibaya mkuu!

Mimi leo ukimteka,ukimjeruhi au kumuua baba/mama yangu, ukimteka mwanangu, ukimteka mke wangu, ukimteka ndugu yangu, rafiki au jamaa jua kabisa nitalipiza kisasi! Kisasi hicho chaweza kuwa cha moja kwa moja au indirect!
Kulipiza kisasi sio ugaidi, ugaidi ni kutumia madaraka na mamlaka kuteka, kunyanyasa, kujeruhi, kufunga magerezani pasipo na hatia, kuua na kila aina ya vitendo vya kinyama dhidi ya mwanaadamu asio hatia!

Mungu ibariki Tanzania, wabariki watanzania wapenda haki.
Ok inawezekana ulicho kisema.
 
Mdau ungetupa orodha ya maalamiko yaliyowasilishwa Polisi (RB) then ndo JESHI la Polisi Liseme. Lakini vyama na wagombea wake huishia kunung'unika tu.
 
Mkui
Imebidi nijitokeza kukuuliza hadharani kwa vile mpaka sasa bado sijasikia ripoti yoyote ya polisi kuhusiana na jambo hili lililoitia aibu Nchi kote duniani

Nilikuwepo kwenye kikao chako cha kujadiliana na wadau wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa masuala mbalimbali ya kuhusiana na amani wakati wa uchaguzi , ulisisitiza amani huku ukiahidi ulinzi wa kutosha wakati wote wa mchakato wa uchaguzi , lakini tulichokishuhudia jana ni tofauti kabisa na maelezo yako , wagombea wa upinzani wametekwa , wameporwa na kupigwa na kundi maalum lililotumwa ili kuwezesha baadhi ya wagombea kupita bila kupingwa , miongoni mwa watuhumiwa ni jeshi la polisi na Takukuru .

Kwa mfano Jimbo la Morogoro Mjini Polisi wa Tanzania walitumika kumpora fomu Mgombea ubunge wa Chadema Mh Devota Minja , hili kila mtu ni shahidi , na kuna tuhuma kwamba polisi hao " walilipwa pesa " ili kuwezesha mchakato wa kumpitisha bila kupingwa mgombea wa ccm , hata wewe kwa uelewa wako unadhani ni sawa kumzuia mbunge kurejesha fomu kwenye ofisi ya umma kwa kisingizio chochote kile , kwanini asisubiriwe arejeshe halafu ndio akamatwe kwa amani ?

TAKUKURU wametumika Jimbo la Mtama kwa kumkamata Mgombea halali wa CHADEMA Mhe. Suleiman Methew kwa kisingizio cha kiwango cha chini sana huku lengo lao likiwa kuhakikisha Nape Nnauye wa ccm anapita bila kupingwa , hivi kwenye hili nalo unatuambiaje mkuu , tena fomu za mgombea huyu zimeporwa ndani ya ofisi ya mkurugenzi wakati wa zoezi la kuhakiki ! Mkuu bado unataka tuendelee kukuamini?
Kumbe uliuliza hili swali toka mwanzo
 
Back
Top Bottom