Nakutakia harusi njema easter mbezi & ndoa zote zinazofungwa kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakutakia harusi njema easter mbezi & ndoa zote zinazofungwa kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OkSIR, Oct 16, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello sis ;hongera sana na kutakia maisha mema na mapya katika familia utakayoanza kesho baada ya kutoka kanisani...ni mengi sana utayakuta kwenye ndoa ndoa si gfriend n boyfriend;mtangulize MUNGU katika kila jambo la maisha yako...kumbuka familia yako..kumbuka marafiki zako;;ujue kwenye ndoa muhimu kuchagua marafiki .....

  Bila kusahau nawatakia kila la kheri wote wanaoenda kuanza maisha mapya kesho yaani wanaoingia kwenye ndoa kesho ;harusi zote mungu awabariki awape ndoa zenye upendo na baraka.......


  SHUNG SHINE
   
 2. O

  OkSIR Senior Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wish "kidume" chetu angakuwa hai....mungu amlinde uko aliko
  natumaini furah aliokuwa nayo kabla ya ndoa baraka zake kwa wanae ndizo hizo hizo zitaendelea kumwangukia....
   
 3. N

  Ngoshakugema New Member

  #3
  Oct 17, 2009
  Joined: Oct 17, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Esther, Katika ndoa yako YESU awe ndio Mkuu. Na model ya maisha ya ndoa ni YESU na Kanisa. Wala usicopy na kupaste ndoa ya fulani. Otherwise Mungu akubariki sana .

  Akupendaye Ngosha
   
Loading...