Ukiona hivyo anakaribia kutoa singo!
Anafanya mazoezi ya sauti mwenzio!Whats up mazee.....
No! mpendwa, mie mgeni humu jf, we subiri tu huyo anayepitia profile yako kila siku atakuja!We mwanamke mtamu huo ujumbe unaenda kwa mtu, huenda ukawa wewe.................
no! anajifunza kutongoza jamani mwacheni!!hii ni kitu gan? unajifunza kuimba bongo flava?
Hahahahaaa kaka usikonde maandalizi hayo ila sitaki manager maana wamekuwa wakora ile mbaya
anamuogopa salama jabirmbona hukuingia bongo star search?????
Ukiona hivyo anakaribia kutoa singo!