MNEKI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 992
- 1,310
Ni uchungu lakini ndio ukweli wenyewe.
Inawezekana umetangatanga sana kutafuta mchumba,mke au mahusiano mitandaoni.
Sikiliza mke au mume huwezi kumpata mtandaoni. Wengi wa huku ni waigizaji ni wengi huku, hawaishi uhalisia.
Lakini huenda ni mbinu ya shetani kukupotezea muda kufikia hatma yako kubwa.
1.Jichunguze wapi mahusiano yako na Mungu hayako sawa.
2.Chunguza ni tabia gani mbaya ambazo umeshindwa kuziacha
✓Mambo hayo mawili yatakufanya ukose amani muda mwingi kwa sababu roho yako itakuwa na hofu kama kuna mashaka.
✓Mambo hayo yatampa kibali shetani cha kukunyanyasa kwa magonjwa na mikosi mbalimbali ilimradi tu aindoe roho yako.
Habari njema ni kwamba Yesu anakupenda na bado anakusubiri umgeukie.
Kutana na nguvu ya maombi yenye matokeo ambayo itakufanya uimarike mwenyewe na umjue Mungu kibinafsi. Kubali kumpokea Yesu leo ...hatima njema ya maisha yako, ipo mikononi mwa Mungu.