NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU

Discussion in 'Matangazo madogo' started by stanley moses, Sep 1, 2009.

 1. s

  stanley moses New Member

  #1
  Sep 1, 2009
  Joined: Jul 24, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MIMI STANLEY MOSES
  NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU
  CHERU MKOMBO
  POPOTE ULIPO TANZANIA
  TULIACHANA NA WEWE ULIPOMALIZA KIDATO CHA NNE
  TABORA GIRLS 2004
  HADI LEO NAKUTAFUTA UKO WAPI?
  JAMANI YEYOTE ANAYE MFAHAMU DADA HUYU
  ANIJULISHE KWA ANWANI ZIFUATAZO
  1, stanleymoses67@yahoo.com
  2, 0713163155
  3, 0765487827
  tafadharini jamani
   
 2. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Stanley Moses na Tabora Girls wapi na wapi?
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Yeye alikuwa tabora boys, if yu no wora am seying! si unajua pale ni pua na mdomo, hata maji wanateka kisima kimoja yakhe!
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu samahani kwa kwenda off post, edit sema unamuulizia rafiki yako unavyosema dada ni umri mkubwa au ni tumbo 1? lakini kutokana na maelezo huyo sio tumbo 1. Kuwa mkweli tukusaidie nitatangaza kwenye kipindi changu leo jioni na kesho asubuhi mara 3
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  offer ya krismass hiyo!!! no air time will be charged!!!
   
 6. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  aha aha aha aha ni dada yake jamani!!
   
 7. K

  Keil JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ninapata mashaka kwamba wewe ni mwenyeji sana mitaa ya Ng'ambu na Sikonge Rd. Vipi, ulipitia mitaa Warsaw?;)
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  na disco la wecome form 1 au 5 wao ni partners
   
 9. K

  Keil JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu angalia usije ukavunja uchumba/ndoa ya huyo dada Cheru. Tangu 2004 mpaka leo anaweza kuwa alishajimuvuzisha kwa kijana (ndoa/uchumba). Sasa kijana akisikia dada anatafutwa na Bwana Stanley Mosses kesi yake ni kubwa ... wasije wakawa ni binam nyama ya hamu.
   
 10. K

  Keil JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  HINT: Huyo dada ni mwenyeji wa Wilaya ya Sikonge, wasiliana na member wa JF anaitwa Sikonge na mwingine anaitwa Elnino, wanaweza kukuelekeza namna ya kumpata.

  Kama ulikuwa hujui huyo dada anatokea eneo gani, ninakupa info zaidi kwamba anatokea sehemu moja inaitwa IPOLE.

  ONYO: Nenda taratibu usije ukavunja ndoa/uchumba, maana tangazo lako halisemi kama wewe una undugu nae na kama una undugu nae basi ungejua yuko wapi. Yaonekana mlikutana mlipokuwa mnachota maji zama za Warsaw na Berlin. Haya ndo mambo ya Nganza na Bwiru Boys.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimemtafuta kwenye Google wala hayupo! Jiandae kwa surprises unaweza kuta ameolewa na maisha yake, ama ameishatangulia kwenye hukumu ya mwisho...ukakumbushia nduguze machungu!
   
 12. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mambo ya orchard usiwe unayaleta huku wewe Mugya!!!!!
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hili nalo nia ANGALIZO MUHIMU sana.
   
 14. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Inawezekana huyu Stanley alikuwa ameenda kwenye mahafali ya dada yake, na tangu siku hiyo hawajaonana.
   
 15. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  kijana naomba utoe maelezo ya dhati kwnn unamtafuta mke wangu mtarajiwa???....naona wewe ndio kati ya wale wale msiopenda kuona wenzenu wanafurahia maisha yao na wachumba zao...

  Umesikia next year namtia ndoani sasa unakuja na vijisababu vyako vya kitoto uonekane kuwa unataka kuwasiliana naye...kwa ufupi hii imekula kwako na ndio namtia ndoani na utaishia kumsikia tuuu hapa jf...ukisha jua nipo naye then unataka kufanya nn???...

  Kwann hupendi kukubali ukweli hata kama unauma???....haya basi nitamweleza kuwa ki-x-boyfriend chako cha sekondari kinakutafuta....then utaongea naye kwa simu yangu..weekend ijayo jmosi saa tano asubuhi...maongezi yatarekodiwa..na mind you utasikika na umati woote utakaokuwapo kusikia unamwambia nn cha ajabu
   
 16. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haswaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Jamani msinikumbushe huko....Nilikuwa pale kwenye Shule ya Wanaume (sio ya wavulana).....if you know what I am saying!
   
 18. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Nilihisi kabisa balaa kama hili litatokea hapa!
   
 19. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kaka stanley huyo cheru, baba yake alikuwa headmaster kigoma sekondari?
   
 20. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2009
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 594
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60

  Samahani sijui ni typing error au ulikusudia lakini sijaelewa maana ya hilo neno lenye red mark
   
Loading...