Nakushauri Jakaya Kikwete utembelee kaburi la Dkt. Magufuli

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, nakushauri kuwa huu ni muda muafaka kwako kwa niaba ya Viongozi Wakuu Wastaafu kutembelea Wilayani Chato na kuzuru kaburi la Hayati Dkt. John Magufuli.

Ziara yako Wilayani Chato ni muhimu sana kwani itasaidia kuwafariji, kuwatia moyo, na kuwapa nguvu familia ya mwendazake hususani Mamake Mzazi, Mkewe Janeth Magufuli pamoja na Watoto

Natambua wapo Viongozi wengi wakuu wastaafu kama Mzee Ally Hassan Mwinyi ila kutokana na umri wake nimeona tumuache apumzike, lakini wewe pamoja na kustaafu lakini bado umesalia kuwa Mwanasiasa mwenye nguvu, ushawishi, unayeheshimika na unayekubalika pakubwa na Watanzania wengi.

Kwa heshima na taadhima kubwa naomba ufanye utaratibu wa kuzuru kaburi la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Nikutakie sikukuu njema ya Eid Mubarak
Kwa nini kaburi la Magufuli tu wakati kuna la Nyerere na Mkapa sijawahi kusikia wameenda? Mkapa toka wamzike hawajaenda
 
Aende Ole Sabaya,Makonda,Ndugai,Ali Hapo na Tuli Akson.
Wakifika pale kwa pamoja anaweza akashtuka maana vipenzi wake wamefika
Ila ikitokea wakaenda Sabaya atalia sana maana amefiwa na ameliwa kichwa
 
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, nakushauri kuwa huu ni muda muafaka kwako kwa niaba ya Viongozi Wakuu Wastaafu kutembelea Wilayani Chato na kuzuru kaburi la Hayati Dkt. John Magufuli.

Ziara yako Wilayani Chato ni muhimu sana kwani itasaidia kuwafariji, kuwatia moyo, na kuwapa nguvu familia ya mwendazake hususani Mamake Mzazi, Mkewe Janeth Magufuli pamoja na Watoto

Natambua wapo Viongozi wengi wakuu wastaafu kama Mzee Ally Hassan Mwinyi ila kutokana na umri wake nimeona tumuache apumzike, lakini wewe pamoja na kustaafu lakini bado umesalia kuwa Mwanasiasa mwenye nguvu, ushawishi, unayeheshimika na unayekubalika pakubwa na Watanzania wengi.

Kwa heshima na taadhima kubwa naomba ufanye utaratibu wa kuzuru kaburi la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Nikutakie sikukuu njema ya Eid Mubarak
Ukistaajabu ya Musa...........
 
Nyie waabudu binadamu wenzenu mbona mnataka kupangia watu cha kufanya?
 
sukuma gang mnaakili za ajabu sasa hii ni nini umeandika. ?bado tu hamuamini kama jiwe likufa?
 
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, nakushauri kuwa huu ni muda muafaka kwako kwa niaba ya Viongozi Wakuu Wastaafu kutembelea Wilayani Chato na kuzuru kaburi la Hayati Dkt. John Magufuli.

Ziara yako Wilayani Chato ni muhimu sana kwani itasaidia kuwafariji, kuwatia moyo, na kuwapa nguvu familia ya mwendazake hususani Mamake Mzazi, Mkewe Janeth Magufuli pamoja na Watoto

Natambua wapo Viongozi wengi wakuu wastaafu kama Mzee Ally Hassan Mwinyi ila kutokana na umri wake nimeona tumuache apumzike, lakini wewe pamoja na kustaafu lakini bado umesalia kuwa Mwanasiasa mwenye nguvu, ushawishi, unayeheshimika na unayekubalika pakubwa na Watanzania wengi.

Kwa heshima na taadhima kubwa naomba ufanye utaratibu wa kuzuru kaburi la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Nikutakie sikukuu njema ya Eid Mubarak
Familia Iko Dar na mama yake marehemu Yuko kwenye Hali ya mahuti ataenda kumfariji nani au naww ni sukuma gang
 
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, nakushauri kuwa huu ni muda muafaka kwako kwa niaba ya Viongozi Wakuu Wastaafu kutembelea Wilayani Chato na kuzuru kaburi la Hayati Dkt. John Magufuli.

Ziara yako Wilayani Chato ni muhimu sana kwani itasaidia kuwafariji, kuwatia moyo, na kuwapa nguvu familia ya mwendazake hususani Mamake Mzazi, Mkewe Janeth Magufuli pamoja na Watoto

Natambua wapo Viongozi wengi wakuu wastaafu kama Mzee Ally Hassan Mwinyi ila kutokana na umri wake nimeona tumuache apumzike, lakini wewe pamoja na kustaafu lakini bado umesalia kuwa Mwanasiasa mwenye nguvu, ushawishi, unayeheshimika na unayekubalika pakubwa na Watanzania wengi.

Kwa heshima na taadhima kubwa naomba ufanye utaratibu wa kuzuru kaburi la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Nikutakie sikukuu njema ya Eid Mubarak
Kuna ulazima gani wa kutembelea hilo kaburi? Lina maajabu yeyote?

Stupid Sana mtoa mada, ungesemaje labda akamsalikie tuu huyo mama sio kutembelea kaburi..

Tuache kutembelea kaburi la MKapa na Nyerere utembelee la mwendazake Ili kubariki maovu au?

JK jitenge kabisa na huyo Dhalimu.
 
Back
Top Bottom