Nakuru Town vc Arusha city

mdazi

JF-Expert Member
May 10, 2016
377
500
Waulize wachagga wenzio wanaotegemea maisha yao Mwanza watakupa ukweli, co mmekaa kishabiki tu. Ebu weka miradi mliyonayo huko n then compare na mwz
mkoa wa mafukara 🤣🤣
tena tushukuruni tumekuja kuwachangamshieni mji wenu huo
bongo lalaz
sisi tupo popote hadi tukuyu
unavoona wachina wapo huku ujue hatuna wataalamu sio kwamba sisi ni matajiri kuliko wao

IMG_20211124_174432.jpg
 

mdazi

JF-Expert Member
May 10, 2016
377
500
Katikati ya mji vinyumba vya kizamani, taa za barabara za miaka ebu tuambie zafanya kazi? 🤣

Arusha na mbeya zilinganishe, na siyo mwanza, baada ya dar ni mwanza
nyuma ya dar kwa kuzaliana 90% ya wakazi ni wabeja🤣🤣

hii ndio maana sasa ya mkoa maskini afrika ndio maana kila siku mnakimbilia kujilinganisha na Arusha

IMG_20211125_101848.jpg
 

BuenosAires

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,115
2,000
nyuma ya dar kwa kuzaliana 90% ya wakazi ni wabeja🤣🤣

hii ndio maana sasa ya mkoa maskini afrika ndio maana kila siku mnakimbilia kujilinganisha na Arusha

View attachment 2022842

Sasa huko milimani watakaa watu wenye hela ilhali hata miundombinu ya barabara za lami hazijawafikia!

Wewe utakuwa hujawahi fika mwz, nenda bwiru, capripoint, ilemela n.k. hayo maeneo ni pembeni ya mji, bei za nyumba capripoint hazishikiki. Za kupanga mpaka 2000 dollar's.

Huko arusha mnanini cha kutudanganyia!
 

mdazi

JF-Expert Member
May 10, 2016
377
500
Sasa huko milimani watakaa watu wenye hela ilhali hata miundombinu ya barabara za lami hazijawafikia!

Wewe utakuwa hujawahi fika mwz, nenda bwiru, capripoint, buhongwa, ilemela n.k. hayo maeneo ni pembeni ya mji, bei za nyumba capripoint hazishikiki. Za kupanga mpaka 2000 dollar's.

Huko arusha mnanini cha kutudanganyia!
Bro nahisi wewe ndio hujawah kufika Arusha

kama uko tayari kubishana kwa hoja bila ushabiki let's go man

Arusha is a diplomatic and tourism hub
unawezaje kujilinganisha na mwanza let's be serious man yani buhongwa nayo wanaishi matajiri 🤣🤣

IMG_20211125_105205.jpg


IMG_20211125_105321.jpg


IMG_20211125_105302.jpg


IMG_20211125_103951.jpg


IMG_20211125_105236.jpg


IMG_20211125_105219.jpg


IMG_20211125_105405.jpg


IMG_20211125_105350.jpg


IMG_20211125_105337.jpg
 

Captain G

Member
Nov 25, 2021
60
125
Bro nahisi wewe ndio hujawah kufika Arusha

kama uko tayari kubishana kwa hoja bila ushabiki let's go man

Arusha is a diplomatic and tourism hub
unawezaje kujilinganisha na mwanza let's be serious man yani buhongwa nayo wanaishi matajiri 🤣🤣

View attachment 2022864

View attachment 2022865

View attachment 2022866

View attachment 2022867

View attachment 2022868

View attachment 2022869

View attachment 2022870

View attachment 2022871

View attachment 2022872
naona kakimbia jamaa yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom