Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watu waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria
Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa serikali.
1: kuhatarisha usalama na foleni
Hakuna nafasi kupita njia zote zimezibwa ni hatari kwa usalama .ajali za mwendokasi na msongamano inasababisha foleni.
2:Upikaji holela ni hatari kwa usalama na uharibifu wa mazingira
Kila kona watu wanapika hii si sawa.
3, upotevu wa mapato ya serikali , machinga wengi hawalipi kodi na wanaziba maduka ya wafanyabiashara wakubwa na walipa kodi na hivyo kusababisha hata wafanyabiashara wakubwa kuanza kuwatumia wamachinga.
4: kuharibika kwa mandhari ya Mji wa kibishara Dar es salam kuanzia airport mpaka unakaribia Ikulu ni uchafu tu vibanda vya kila sampuli
Hiii itapunguza idadi ya watalii kwasababu mtu akiangalia Mjin ulivyomchafu na bughudha za wamachinga hAwezi kurudi tena na jitihada za Rais kuitangaza Tanzania hazitafanikiwa kama mfumo huu wa kuwaachia machinga kujenga vibanda kila mahali na kuharibu mazingira.
Ninakupongeza Rc Makalla ni muda sasa wa kutekeleza tamko lako na kwa ujasiri wako naamini unaweza ukarejesha heshima, mandhari ya DSM.