Nakupongza RC Makalla kwa tamko la wamachinga kuiziba njia na kufanya biashara holela kwenye hifadhi za barabara

Choo Cha Kulipia

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
930
1,000
Nakumbuka miaka ile kuihamisha stendi ya mabasi ya Mwenge kuileta Makumbusho ilikuwa ni mgogoro sana lakini leo imewezekana Makumbusho imekubalika,hata wa Kkoo kuhama itawezekana..
 
Weakman

Senior Member
Jul 23, 2021
167
250
Ulivyomalizia hoja yako, inaonekana kuna kitu kimepungua kichwani.

Uharibifu unaosababishwa na machinga, ulikuwa unasubiri apatikane kiongozi mkweli wa nafsi na mwenye akili, japo ya kawaida tu, kuja kuusimamisha.

Machinga, kama watanzania wengine, wana haki ya kufanya biashara, lakini siyo kwa namna chafu kama ya sasa.
Uharibifu wa mazingira unafanywa na wafugaji, wachimba madini na wachoma mkaa

Dunia inapambana na uharibifu huo, si machinga
 
Weakman

Senior Member
Jul 23, 2021
167
250
Sehemu ilipo hii bar hakuna mtu angetegemea kama ingejaza watu,imejificha mno Wala hakuna njia yeyote inayopita Tena imefichwa mno.Lakini wateja wanaifuata wait wenyewe nyomi Kama lote
Bar ni starehe ya kihuni, ambayo wengi wanahitaji utulivu na kufanya mengine ya siri
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,864
2,000
Baba yao aliacha wosia kwamba wamachinga wasisumbuliwe, as long as ana kitambulisho hata kwenye geti la Ikulu wamwache afanye biashara as long as pana wateja, Makala amekiuka wosia kitakachompata asitulaumu.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,330
2,000
Machinga ni zao la umaskini uliokithiri wa nchi
Nchi ipambanie maendeleo, tatizo la machinga litajiondoa lenyewe
Sera mbovu za ccm kushindwa kuwaunganisha vijana waone fursa zinazowazunguka Ili wajikwamue.Kazi ya tisi ni kuisaidia ccm iibe kura,kudukua simu za Mbowe,membe.tisi wa wenzetu wao wapo bize kudukua fursa za kiuchumi za nchi zingine Ili vijana wao wakaibe walete nchini mwao.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,330
2,000
Mwanasiasa anaua uchumi,anawashusha matajiri wawe masikini anaua sekta binafsi impact yake vijana wanakosa Kazi baada ya matajiri kukimbia kubambikwa wanafunga biashara zao vijana wanakosa Kazi,wanaamua kurundikana mijini Ili kuuza chochote maana vijijini moto mwanasiasa ameua sekta binafsi mazao yamekosa soko.Kisa mwanasiasa huyo huyo anawaambia machinga wavunje Sheria Ili aje apate kura zao huku akijiita ni mtetezi wao hali wao ndo chanzo cha umachinga.
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,555
2,000
Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watu waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria
Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa serikali.

1: kuhatarisha usalama na foleni
Hakuna nafasi kupita njia zote zimezibwa ni hatari kwa usalama .ajali za mwendokasi na msongamano inasababisha foleni.

2:Upikaji holela ni hatari kwa usalama na uharibifu wa mazingira
Kila kona watu wanapika hii si sawa.

3, upotevu wa mapato ya serikali , machinga wengi hawalipi kodi na wanaziba maduka ya wafanyabiashara wakubwa na walipa kodi na hivyo kusababisha hata wafanyabiashara wakubwa kuanza kuwatumia wamachinga.

4: kuharibika kwa mandhari ya Mji wa kibishara Dar es salam kuanzia airport mpaka unakaribia Ikulu ni uchafu tu vibanda vya kila sampuli
Hiii itapunguza idadi ya watalii kwasababu mtu akiangalia Mjin ulivyomchafu na bughudha za wamachinga hAwezi kurudi tena na jitihada za Rais kuitangaza Tanzania hazitafanikiwa kama mfumo huu wa kuwaachia machinga kujenga vibanda kila mahali na kuharibu mazingira.

Ninakupongeza Rc Makalla ni muda sasa wa kutekeleza tamko lako na kwa ujasiri wako naamini unaweza ukarejesha heshima, mandhari ya DSM.
Tuone atakavyo lishukulia, maana kwa kweli hawa watu wanahatarisha maisha yetu. Inabidi tupishane na magari barabarani.
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,898
2,000
Kituo cha Daladala mlimani City Kama mara mbili hivi machinga wanakufa kwa kugongwa na magari.Siku nyingine ni Bahati tu machinga alikuwa katoka kwenye kibanda chake cha vifaa vya simu lkn alikuwa anapoteza màisha maana Gari ilisomba kibanda chote
Umeona eeh, alafu wanasababisha na wapita njia pia kugongwa, tufike pahala turudie enzi za Kikwete,huyu JIWE siasa zake zimeharibu sana nchi.
Mtu anapika chakula kwenye shimo la kinyesi alafu mkuu wa nchi anamtetea eti akale wapi? ian maana huyo machinga alipokuwa anatoka huko kwao kilimanjaro hakujua anakwenda wapi? alipokuwa anatoka mwanza, kigoma, mbeya, katavi, mtwara alijua akifika DAr kuan frem zipo fee zinamsubiri?
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,836
2,000
[QUOTE="Skyway, post:
Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watuKINARA waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria
Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa serikali.

1: kuhatarisha usalama na foleni
Hakuna nafasi kupita njia zote zimezibwa ni hatari kwa usalama .ajali za mwendokasi na msongamano inasababisha foleni.

2:Upikaji holela ni hatari kwa usalama na uharibifu wa mazingira
Kila kona watu wanapika hii si sawa.

3, upotevu wa mapato ya serikali , machinga wengi hawalipi kodi na wanaziba maduka ya wafanyabiashara wakubwa na walipa kodi na hivyo kusababisha hata wafanyabiashara wakubwa kuanza kuwatumia wamachinga.

4: kuharibika kwa mandhari ya Mji wa kibishara Dar es salam kuanzia airport mpaka unakaribia Ikulu ni uchafu tu vibanda vya kila sampuli
Hiii itapunguza idadi ya watalii kwasababu mtu akiangalia Mjin ulivyomchafu na bughudha za wamachinga hAwezi kurudi tena na jitihada za Rais kuitangaza Tanzania hazitafanikiwa kama mfumo huu wa kuwaachia machinga kujenga vibanda kila mahali na kuharibu mazingira.

Ninakupongeza Rc Makalla ni muda sasa wa kutekeleza tamko lako na kwa ujasiri wako naamini unaweza ukarejesha heshima, mandhari ya DSM.
[/QUOTE]
Nasita kupongeza kwa haraka! Tuone kwanza kama ataweza kuutafuna mfupa uliomshinda mzee Makamba na kijana Bashite!! Mfupa huo unahusisha:
1. Machangudoa!! hakuna awezaye kuwapiga vita akashinda!! Wateja wao ni watu mashuhuri sana!! Giza likishaingia, kinachoendelea ni aibu!!
2. Ombaomba!
3. Wamachinga!
Kwa hiyo mkuu wa mkoa wa Dar wa sasa akiweza kutafuna mfupa uliowashinda watangulizi wake atakuwa ni mkuu wa mkoa mkoa KINARA wa muda wote!!
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,049
2,000
Ulivyomalizia hoja yako, inaonekana kuna kitu kimepungua kichwani.

Uharibifu unaosababishwa na machinga, ulikuwa unasubiri apatikane kiongozi mkweli wa nafsi na mwenye akili, japo ya kawaida tu, kuja kuusimamisha.

Machinga, kama watanzania wengine, wana haki ya kufanya biashara, lakini siyo kwa namna chafu kama ya sasa.
Maegeshk yote wametwaa narungkmbena aggregate wamechukua
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,084
2,000
[QUOTE="Skyway, post:
Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watuKINARA waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria
Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa serikali.

1: kuhatarisha usalama na foleni
Hakuna nafasi kupita njia zote zimezibwa ni hatari kwa usalama .ajali za mwendokasi na msongamano inasababisha foleni.

2:Upikaji holela ni hatari kwa usalama na uharibifu wa mazingira
Kila kona watu wanapika hii si sawa.

3, upotevu wa mapato ya serikali , machinga wengi hawalipi kodi na wanaziba maduka ya wafanyabiashara wakubwa na walipa kodi na hivyo kusababisha hata wafanyabiashara wakubwa kuanza kuwatumia wamachinga.

4: kuharibika kwa mandhari ya Mji wa kibishara Dar es salam kuanzia airport mpaka unakaribia Ikulu ni uchafu tu vibanda vya kila sampuli
Hiii itapunguza idadi ya watalii kwasababu mtu akiangalia Mjin ulivyomchafu na bughudha za wamachinga hAwezi kurudi tena na jitihada za Rais kuitangaza Tanzania hazitafanikiwa kama mfumo huu wa kuwaachia machinga kujenga vibanda kila mahali na kuharibu mazingira.

Ninakupongeza Rc Makalla ni muda sasa wa kutekeleza tamko lako na kwa ujasiri wako naamini unaweza ukarejesha heshima, mandhari ya DSM.
Nasita kupongeza kwa haraka! Tuone kwanza kama ataweza kuutafuna mfupa uliomshinda mzee Makamba na kijana Bashite!! Mfupa huo unahusisha:
1. Machangudoa!! hakuna awezaye kuwapiga vita akashinda!! Wateja wao ni watu mashuhuri sana!! Giza likishaingia, kinachoendelea ni aibu!!
2. Ombaomba!
3. Wamachinga!
Kwa hiyo mkuu wa mkoa wa Dar wa sasa akiweza kutafuna mfupa uliowashinda watangulizi wake atakuwa ni mkuu wa mkoa mkoa KINARA wa muda wote!!
[/QUOTE]
Waanze kwanza na makahaba waliojazana kwenye magrocery, mtu hanunui bidhaa za machinga wala hali kwa mamalishe lakini kutwanzima kywasimanga, mumejenga mji wa kiserikali Dodoma hamieni huko tuacheni kupange nyanza hadi kwenye mitaroya maji taka, ukiona vipi hamia Canada kama Lema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom