NAKUPONGEZA RAIS MAGUFULI... kwa kutengua kauli yako "KUTOFUKUA MAKABURI"

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,420
12,569
Kwa kuwafikisha mahakamani hao wezi leo.....

Nakupongeza sana Rais.

hiki ndicho tunachotaka na Ccm imeanza kuwa tofauti.

Hapa tunaanza kwenda pamoja.

Ukirejea na rasimu ya katiba ya WARIOBA...ukaipitisha .

Hakika 2020 USIANGAIKE KUPIGA KAMPENI...

Ahsante.
 
Back
Top Bottom