Nakupenda Mamndenyi....

Uamuzi huu nimeuchukua baada ya kusoma post ya Mwita Maranya na ninamuambia kabisa kuwa kisichokuwa na thamani kwako kwa Mungu kina thamani wewe ukisema mke gani wenzio wanamuona anapendeza

Naomba hii aione Filipo.....

Sasa mkuu St. Paka Mweusi mbona umeni-quote vibaya? au unafanya kusudi ili kumjaza matope Mamndenyi ili akukubali haraka haraka?

Mimi nimekubali kuachana nae lakini kwa shingo upande, sasa wewe jifanye kujua, kitakachokupata usije ukarudi hapa kulialia.

btw, mimi niko tayari kukusaidia kukupigia debe kwa huyo "mshori" ili akutoe upweke.
 
Last edited by a moderator:

Tulia unyolewe wewe,mbona makelele mengi..??
 
Back
Top Bottom