Nakupenda lakini sikupi mwili wangu hadi unioe.

mie nashangaa tu, tatizo kuna picha kuwa mwanamke hapendi ngono, anafanya tu sababu kaolewa au kashawishiwa na mwanamme.

People grow up, hata kabla ya ndoa mwanamke anaitikia vichocheo kabisa.

Waacheni wanaotaka wagawe hawa 'virgins in a maternity ward' nao waacheni waendelee na dunia yao.
 
With due respect and apology, marinda ni kitu gani? Hujambo?

Please mtoa mada nifahamishe mwenzio sijapitia unyago, hivi marinda ni nini, maana nisije siku nikaumbuka na mimi kwa kutokuwa na marinda wakati labda kuna njia za kuyarudisha hata kama ni za kichina china

Mimi ni mgeni kidogo kweny haya mambo. Naomba unijuze marinda ni nini na yanapatikana/onekana wapi.
Msinicheke jamani ila nataka kujua

kuuliza ndio kutaka kujua. so naona memba mmekuwa wengi darasa nawapeni very soon. ila kusoma hamjui hata picha tu kutazama hamuwezi?
 
Hii mada inahusika sana... Ila hata mie kuolewa na mwanaume sijamjua kwanza.. Akhaaaa sitaki.. Mfike ndani ya nyumba ukute kumbe jogoo hapandi mtungi.. Utalia na nani?? Ukizingatia wengine ndoa zetu za kikristo kuachana mpaka KIFO kiwatenganishe..!
 
sasa mamie,ukimpa akakushit utawapa wangapi?
 
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?

Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.

Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.

Nawasilisha!!!!!!!

Yupo right kabisa,'MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE, ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA' MITHALI 6:32-33. IF YOU LOVE HER NA UPO TAYARI KUMWOA FUNGA NDOA.ACHA TAMAA ZA MWILI.
 
sasa mamie,ukimpa akakushit utawapa wangapi?

Ni bora nimpe nimjue kuliko hasara ya kuingia ndani ndo unakuta kama hivyo jogoo hapandi mtungi au unakuta ana function vizuri tatizo linakuwa saizi ya dushelele... Khaaa... Unaweza ukakuta dushelele kubwa kama nanilihii... Loh.. Utalia na nani bibie na ndio mmeo huyo.. Sasa hayo si ni mateso jamani! Lazima u test ujue kama mnaweza kwenda sambamba... Na mpaka nafikia uamuzi wa kumpa nakuwa nimejiridhisha na baadhi ya vitu sikurupuki tuu..
 
VERY TRUE ATAWAPA WANGAPI??? Mungu ndiye mweza wa yote coz anaweza akawa fit before marriage na mkishaoana mambo yakabadilika. Hakuna jambo Mungu asiloliweza na Mungu anakupa mume/mke unaefanana nae.
 
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?

Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.

Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.

Nawasilisha!!!!!!!
YUPO VERY VERY RIGHT........AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA ANAFANYA JAMBO LINALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE. ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA. MITHALI 6:32-33. Acha tamaa za mwili muoe if have true love with her. come on
 
Wewe ni mlokole?
 
Ni bora nimpe nimjue kuliko hasara ya kuingia ndani ndo unakuta kama hivyo jogoo hapandi mtungi au unakuta ana function vizuri tatizo linakuwa saizi ya dushelele... Khaaa... Unaweza ukakuta dushelele kubwa kama nanilihii... Loh.. Utalia na nani bibie na ndio mmeo huyo.. Sasa hayo si ni mateso jamani! Lazima u test ujue kama mnaweza kwenda sambamba... Na mpaka nafikia uamuzi wa kumpa nakuwa nimejiridhisha na baadhi ya vitu sikurupuki tuu..

nipe na mimi baaaasiii
 
Sasa kama unaona ni deal sana kutest si umuombe akuoneshe kama size unataka???!!!kwani lazima m-do???
 
Kubali kataaa ku test muhimu... Isitoshe wanaume wengi siku hizi wanajidai wanajua sound kumbe jogoo hawiki..Lol.
 
Sasa mbona rate ya ndoa zinazovunjika au zisizo na amani ni kubwa kuliko zamani ambapo walikuwa hawatest?
Ni basi tu kufuata kasumba...Mkipendana kweli kila kitu huwa kinajipa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom