Nakupenda Jamiiforum

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,537
1,653
Ebwana cwez kuielezea hii blog inashika sana before nilikua face1000 ebwana kumbe kule cha kike yn km c maarufu bla ukimbie.hope ile ni ya maarufu 2
 
kokudo;

jina lako linanikwaza!

Kule Magharibi ya Ziwa Victoria watoto wengi wa kike majina yao ya "asili" huanza na "KOKU" Kwa hiyo "KOKUDO" ina maana isiyopendeza sana, given the fact that wao huchanganya lugha yao na Kiingereza!
 
Mbona ww umechanganya?
Na ww ni akina
.......kokutembei,..........kokuteta,..........
 
Ebwana cwez kuielezea hii blog inashika sana before nilikua face1000 ebwana kumbe kule cha kike yn km c maarufu bla ukimbie.hope ile ni ya maarufu 2

ahhh kumbe face 1000 ni facebuk! duh! alafu hiyo heading nakupenda jamii forum .. nilifikiri umezimika kwa MOD flani wa hapa anaitwa jamii forum!!... neways!! JF ipo bomba ina watu wa kila aina from great thinkers mpaka Viazi
 
Back
Top Bottom